Chama pekee ambacho kitaikomboa nchi hii kutoka kwenye umaskini, uoga, uonevu, na kuleta usawa kwa watu ni @ChademaTZ2
Hakuna chama kingine kitaleta mabadiliko ya kweli zaidi ya Chadema.
Mungu ibariki CHADEMA na wapenda HAKI wote. Amen!!
#NoReformsNoElections
‼️TETESI‼️: Hii ya kesi ya Lissu kusogezwa inaweza kuwa kutupoteza ila inawezekana akaletwa mahakamani leo na kuachiwa kwa kufutiwa kesi au njia nyingine! Au akaachiwa na kupelekwa nyumbani! Tukae standby maeneo hayo!
Hawa watawala eti hawataki Lissu aonekane ameshinda na sisi wananchi kufurahi!
Muda wote tuwe macho kuanzia hapo Ukonga hadi mahakamani na nyumbani kwake! Tukae standby kumpokea shujaa wetu maana kumwachia LAZIMA!
#FreeTunduLissu
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa..
Ushirika wa kidhalimu huwa haudumu, hakuna mwenye unafuu miongoni mwenu…
Wote mmekalia viti vya damu na vyeo vya uongo…
Damu ya Watanzania itaendelea kuwanenea kila baya nyie na familia zenu.
Ni muhimu mmeanza kumalizana, kama boss anaweza kutuma mtu kuita msaidizi wake majina (YUDA)
Watanzania tutashinda vita hii, hakuna mwenye nafuu ccm wote ni walewale.
SWALI? Hawa "WATURUKI" wanaokuja Tanzania mikoa mbalimbali wanachinja ng'ombe na mifugo mingine maelfu kwa maelfu na kugawa nyama kwa watanzania, lengo lao kubwa ni nini hasa?
Nchi walizotoka hakuna wahitaji wa HIZO nyama au pesa mpaka waje Tanzania?
THERE IS SOMETHING WRONG.
Maombi ya Kesi ya Mapitio ya DPP v. Tundu Antiphas Lissu yatasikilizwa mnamo tarehe 11 Juni 2026 na Jopo la Majaji wa Mahakama ya Rufaa (Mwarija, Muruke & Khamis) jijini Dar es Salaam.
The Revision Application by the DPP v. Tundu Antiphas Lissu at the Court of Appeal of Tanzania,arising out of the treason case against him at the High Court of Tanzania, will be heard on the 11th of June 2026 by a panel of three justices of appeal(Mwarija, Muruke, &Khamis) in Dar es Salaam.
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA Mhe LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.
Ni 2026, ila bado kuna watu wanaenda kwenye lile jengo linaitwa Bunge wanapiga picha na wale mbumbumbu, wanasambaza na kupongezana kama mafanikio.
Wengi ni graduate na struggling young adults!
Hivi tuna nakisi ya uadilifu na mafanikio kiasi hiki?
Nani aliyeturoga?
Leo ni mei mosi, Siku ya wafanyakazi Duniani.
Wafanyakazi Watanzania wasio na vyama vya wafanyakazi.
Vyama vya wafanyakazi vilivyotakiwa na kutegemewa kusemea mishahara bora, hali za maisha ya wafanyakazi, makazi yao, usafiri, gharama za maisha na hata ajira.
Vimegeuka chawa, viongozi wa vyama vya wafanyakazi ni makada wanaokula rushwa na kunyamazia maumivu ya wafanyakazi..
CWT, TUCTA wanasema nini kuhusu kupanda kwa mafuta, gharama za maisha , wako kimya wana ndoa na serikali dhalimu… wanachukua michango ya wafanyakazi Lakini hawana msaada kwa wafanyakazi..
Ni muhimu wafanyakazi mkaungana na watu wanaowasemea na kuwapigania ili muweze kuleta Mageuzi ya kweli.
Hakuna cha kusherekea tofauti na kupumzika nyumbani leo.
LAZARO ni wale watu hawawezi kuishi bila MADARAKA, na pengine hana fursa yoyote mtaani anahaingaika sana inabidi aongee hata UJINGA kujisogeza apewe cheo...