Namna ya kura ya Mwananchi kulindwa na kuheshimiwa..
Ni kuhakikisha kwamba kuna mabadiliko ya kikatiba, kisheria na kikanuni… mabadiliko ambayo yataondoa uchaguzi kwenye mikono ya ccm na kuuweka kwenye mikono ya vyombo huru vinavyoaminika na kila upande.
Huwezi kulinda kura kwa kusaini kanuni inayomzuia hata wakala kuingia na simu kwenye kituo.
Kanuni uliyosaini inazuia mtu kusogea mita 200 karibu na kituo baada ya kumaliza kupiga kura, mita 200 huwezi kuona kinachoendelea wakati huo wakala wako hana simu.
Nchi nyingine kura inapigwa mbele ya camera kanuni za ccm mpiga kura haruhusiwi kuona zoezi linavyoendeshwa!!!!
Utapeli, wizi na uongo.
#NoReformsNoElection
@Dominicksalamb1 Brother Niko upande uliopo lakini naanza kuchuukia mpira wa bongo mara ya pili tunadhurumiwa kwa nini kanuni hazitumiki tunabaki palepale nini kimetekelezwa ktk madai yale manne🥱🥱
Timu mbili za Kariakoo zinashiriki siasa za CCM, ni bahati mbaya tunazipenda na hatuwezi kuona hayo kwa sababu ya mahaba yetu kwa timu hizo. Hizi timu zimepandikiza makada wa CCM katika uongozi, wanafanya kazi za CCM wakati mashabiki wote siyo wafuasi wa CCM #NoReformsNoElection
Wewe Mungu unayemiliki Nchi, jitukuze.
Uwape wenye kiburi stahiki yao.
Hata lini wasio na hatia watafurahia?
Utakaa kimya mpaka lini?
Hata lini matumbo yetu ya uzazi yatahangaika?
Mashavu yetu yatariririsha machozi mpaka lini?
TUHURUMIE EE BWANA!...
CCM inatengeneza ukubwa wa wapinzani wenyewe,
Before LISSU awekwe jela, HECHE hakua mkubwa hivi, lakini sasa anaweza kuvutiwa wingi wa watu kama ilivo lissu.
CDM inaweza kufanya mikutano miwili kwa wakati mmoja mikoa tofauti na ikawa na athari kubwa kwa pamoja.
Proud to announce the completion of my Executive Program at one of the world’s leading business schools — HARVARD!
The experience was nothing short of extraordinary, insights gained and the connections forged with brilliant minds from diverse backgrounds are invaluable.
#BEMS-2025
Thank you @anitaelberse@harvardhbs
Mzee Wasira mlitegemea mkianzisha chama mtaipasua Chadema?
Nafikiri aliewapa script aliwadanganya sana, pengine hamjui kabisa Chadema.
Nafikiri pia hamjui kwamba mnadeal na kizazi gani, vijana wa sasa sio wajinga kabisa kama mnavyojidanganya.
Kesi zote, vurugu zote na bado hamtaweza kuiua Chadema kama matamanio yenu ya kijinga yalivyo.
Hizi m 600 za juzi mlizotoa zitapigwa zitaisha bado utaiona Chadema imesimama hivi hivi.
Soon tutawaeleza Watanzania kwa kina.
Wakati wa kukopa mnaliita
DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha)
Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!!
Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama, Mradi Wa Maji Kaleta Mama,Barabara Mama, Hadi Derby Fedha Za Goli La Mama.
Kwenye marejesho mnatuhusisha tena mnaanza kututoza mitozo na kodi!!
Huku mkitudanganya kwa kutuambia msiwe na wasiwasi hakuna mtu atakuja kukugongea mlangoni kukudai!!
Tuamkeni na kuwakataa hawa hawana huruma hawana uchungu na sisi!
Tundu Lissu akapewa kesi ya uhaini
Chama cha ubwabwa kikapewa uhai
Kuongeza nguvu kupambana na CDM
Msajili akazuia ruzuku ya CDM
Msajili hamtambui MNYIKA na wenzake
Viongozi kitaifa wamezuiwa kusafiri
CDM imezuiwa kufanya siasa siku 14
But, we shall fight on the beaches