@PresenterNoah WC 2022, Morocco baada ya kufka Sem final,walisema like they are Not African,like wise for SA sina sababu ya Kumwombea kheri Mwafrica anae mtenga na kumkana Mwafrica Mwenzake,So hawa wawili Lolote BAYA liwakute tena Mapemaaaaaaaaa
@UbaloziPretoria@DuniaSlaveDunia Duuuu,Hongereni sana,Taalifa imenyooka ,Kongore sanaa tena sana,Endeleeni kuwasaidia Na wengine wenye uhitaji,Na sisi Tusiende Nchi za Watu Bila kufata Taratibu za Kisheria.