Mteja: Lusajo mbona gharama zako ni kubwa tofauti na wengine?
Mimi: Gharama zangu ni ndogo ukilinganisha na THAMANI ya huduma utakayopata. Sasa usipoteze muda wa kulinganisha gharama na wengine wakati thamani ya kutoa huduma hatufanani.
Sababu ya kwanza unayo wewe, ambayo ni KWANINI UMENITAFUTA mpaka ukaamua kuja toka huko mpaka hapa ofisini ๐
Sababu ya pili nauza HUDUMA KWA UAMINIFU, kitu ambacho ni nadra kwa watoa huduma wengi. (Uaminifu wa Muda, Uaminifu ktk kumeet Expectation yako)
Sababu ya Tatu nikikupa huduma nahakikisha MATOKEO na MATARAJIO yako yanafikiwa.
Sababu ya nne na kuu ni kwamba THAMANI ya huduma yangu huipati popote utakapoenda zaidi ya kwangu.
Kwahiyo EXPERIENCE ya huduma nitakayokupa ni kubwa zaidi gharama nitakayokutajia ๐
Mteja: Haya sawa basi UTANIPUNGUZIA KIDOGO KAKA!!
Mimi: USIJALI Badala ya kutoa Milioni1,500,000/- utalipia 1,350,000/- then save 150,000/- ambayo ni ofa ya kukaribisha katika Familia ya @ebdigitaltec
Salamu zangu za Pole ziwafikie ndugu zetu wote waliopatwa na majanga katika Maporomoko ya Ghorofa sokoni Kariakoo.
Kwa wote walioguswa kwa namna yoyote ile, Nawaombe kwa Mungu, Awaponye, Awape FARAJA, Awatie NGUVU na Awarudishie yale yaliyopotea kwenu.
Amina ๐๐พ
Lusajo Mwaihabi
Anaitwa @Mophatree ni jamaa yangu mwenye akili sana.
Tumeanza kuhustle na issues za IT tukiwa Mbeya. Baada ya hapo 2016 tukapotezana Kila mtu na maisha yake.
I'm proud of him, ni mtu wa MAONO, ana kipaji kikubwa sana cha Ku-Create Ideas na kuzitekeleza.
Yupo KARIAKOO Anapambana kuokoa Watanzania wenzake.
Mungu azidi kumbariki Mophat
#NasahaZaMzeeMwaihabi
Mzee Mwaihabi aliniambia jambo hili muhimu saana.
"Maisha yanapanda na kushuka. Unaweza kuutafuta UTAJIRI na ukaupata. Ukafirahia na kuona ufahari sana."
"Lakini naomba nikukumbushe mwanangu, katika kipindi Cha Utajiri, Jifunze kuweka AKIBA. Na Akiba hii iweke kwa WATU, SIYO MTU! Akiba ninayoisema ni WEMA!"
"Siku zote za Mafanikio yako weka akiba kwa watu, kwa sababu AKIBA hiyo HAITAOZA. Msaidie mwenye uhitaji bila kujali atakulipa kitu gani. Weka AMANA kwa watu wengi kwa KADRI uwezavyo. Maana Ipo siku watakuwa wamekutunzia AKIBA yako."
"Mwanangu, unaweza kuwa na utajiri wa mabilioni ya shilingi ktk uwekezaji wako, lakini amini kwamba kuna siku inaweza kutokea ukapoteza zote! Lakini akiba uliyoweka mioyoni mwa watu, hautaipoteza"
"Weka akiba kwa NDUGU zako, Rafiki zako, Jamaa zako. Weka akiba kwa Wasio na uwezo na wenye uwezo. Weka akiba kwa wakubwa wako na wadogo wako."
"AKIBA siyo tu pesa, bali ni MAWAZO, MIPANGO, KUJITOA KWAO, KUWAPA ULICHOJAAALIWA N.K toa kwa kadri ambavyo umejaaliwa na Mungu wako."
"Mimi Nimestaafu tangu mwaka 1996, pensheni yangu ni ndogo sana, lakini WEMA tuliojaliwa kuwatendea watu kwa KADRI ya kidogo tulichokuwa nacho, ndivyo vinavyotupa NGUVU na BARAKA hadi leo. Na si tu kwetu, hata kwenu watoto na wajukuu"
"UTAJIRI SIYO UFAHARI, BALI WEMA NI HAZINA YENYE BARAKA ZISIZO NA UKOMO. NA HATA UKIFA, UTAKUFA KWA AMANI NA FURAHA"
Ooooohhhh ndugu zangu I love so much this Man. Everything told me naona ni REAL na kuhappen. He's my 1st Mentor and role model of my life.
Endelea kufurahia Maisha yako ya uzeeni, Mzee Andalalisye Segeleti Kipepele Mwaihabi!
Biashara HAIANZI ukiwa na pesa. Biashara inaanza pale USIPOKUWA na pesa ila una MTAJI.
MTAJI ni Mchakato, sio kitu au fedha!
MTAJI ni
1. IDEA YA BIASHARA Kisha tengeneza
2. PLAN YA BIASHARA Kisha weka
3. MIKAKATI YA BIASHARA
4. Uwe na UAMINIFU WA KIBIASHARA
5. Jenga MAHUSIANO MZURI na wateja wako.
Mchakato wa kuanzishwa biashara unaweza kuanza pindi ambapo huna pesa. Na hizo pesa zikakukuta ukiwa kwenye channel ya kibiashara.
Leo saa 5 asubuhi hii, nitafanya SPACE ya Marketing inayohusu ๐๐๐ฉ๐๐ฅ๐ง๐๐ฆ๐๐ ๐๐ก๐ง ๐ป๐ฎ ๐ฃ๐ฅ๐ข๐ ๐ข๐ง๐๐ข๐ก.
Kama nilivyosema kwenye previous posts, wengi hawajui tofauti zake na kupelekea kwenda off target katika kuyatengeneza
Kwenye Darasa la Leo,Tutafahamu tofauti then application za hayo mambo mawili. Na jinsi ya kuyatengeneza hayo matangazo na Promotions.
Hii itasaidia watu kutengeneza matangazo na promo kwa targets zenye matokeo kwenye biashara zao na ofisi zao.
USIPANGE KUKOSA LEO ALIKA NA NDUGU NA JAMA HAPA.
Job Vacancy: ๐๐ฅ๐ข๐ก๐ง ๐๐๐ฆ๐ & ๐ข๐๐๐๐๐ ๐ ๐๐ก๐๐๐๐ฅ
Company: ๐๐ ๐๐๐๐๐ง๐๐ ๐ง๐๐๐ (@ebdigitaltec)
Location: ๐๐ฎ๐ฟ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ๐บ, ๐ฆ๐ถ๐ป๐๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐น๐ฒ๐๐๐ถ๐ป๐ฎ
EB Digital Tech, a leading marketing agency based in Dar es Salaam, is currently seeking a motivated and experienced Front Desk and Office Manager to join our dynamic team. The ideal candidate should be fluent in both English and Swahili, with at least two years of relevant experience and a minimum of a Diploma in Business Administration or a related course.
Responsibilities:
- Communicate effectively in English and Swahili with clients and colleagues
- Proficient in using official email platforms, specifically Ms Outlook
- Handle official phone calls in a professional and efficient manner
- Demonstrate knowledge and understanding of job ethics
- Utilize computer skills, especially Ms Office applications
- Possess excellent customer service skills when interacting with clients
- Manage bookings and accommodate guests
- Have a comprehensive understanding of all commerce books
- Maintain organization and cleanliness in the office space
Qualifications:
- Fluent in both English and Swahili
- Minimum two years of experience in a similar role
- Proficient in using Ms Outlook for official email communication
- Demonstrated ability to handle official phone calls with professionalism
- Strong understanding of job ethics and workplace etiquette
- Proficient in using computers, especially Ms Office applications
- Excellent communication and interpersonal skills
- Knowledge of handling bookings and guest management
- Familiarity with commerce books and their uses
- Ability to keep the office organized and presentable at all times
To apply, please send your CV to [email protected] before the 23rd of December. Only selected candidates will be contacted for interview scheduling via phone.
We look forward to welcoming a dedicated Front Desk and Office Manager to our team at EB Digital Tech.
Ni Miaka kadhaa imepita nikiwa maeneo ya Rose Garden Mikocheni, Jijini Dar, nasikia mtu akinita 'Sajooooo...' kwa nguvu.
Ile nageuka nyuma nashangaa Kuna mtu ananipungia mkono akiwa ametabasamu, kutokea kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado TxxxDPC.
Story ๐งต๐๐พ
Unaweza kuwa unafanya matangazo sana lakini hupati wateja Kumbe tatizo ni KUTOJUA MBINU NA NJIA SAHIHI (CHANNEL) ZA KUFANYA MATANGAZO ZA KUFIKIA WALENGWA
Zijue MBINU MUHIMU na namna bora ya kuchagua CHANNEL sahihi ya matangazo ya bidhaa zako. Ilikufikia walengwa
๐งต๐๐พ
Ni hivi, kama AJIRA imekushinda, ukweli ni kwamba KUJIAJIRI NI KUGUMU ZAIDI kwako.
Kama unashindwa KUJISIMAMIA kutekeleza majukumu yako ukiwa kwenye ajira yako, Unafikiri kujisimamia ukiwa kwako utaweza?
Kama umeshindwa kuwa na NIDHAMU ofisini kwa waajiriwa wenzio na viongozi wako, Unafikiri utaweza kuwa na nidhamu na ofisi yako?
Kama umeshindwa kuwa na NIDHAMU na pesa ya ofisi unafikiri pesa ya ofisi yako utaiweza?
Kama umeshindwa kuwa MBUNIFU na moyo wa kukua katika kampuni uliyoajiriwa, Unafikiri siku ukienda kwenye ofisi yako utakuwa Mbunifu?
KUJIAJIRI sio kukurupuka, kujiajiri ni maandalizi ya muda mrefu. Ukikurupuka, anguko la mradi wako ni la muda mfupi.
Chukua MUDA kwa ajili ya kujifunza kwanza ndipo uanzishe mradi wako.
Usiondoke vibaya katika kampuni uliyoajiriwa eti kwa sababu wanakutegemea na kwa sababu unaweza kujiajiri mwenyewe na kwamba unaweza kufanya mambo mazuri bila wao. Hii itakukosesha BARAKA kutokana na manung'uniko yao. Mwisho wa siku utakuwa na kila kitu lakini utakosa Furaha, Amani, Baraka n.k
Mungu akikupa UWEZO NA TALANTA epuka kuwa na KIBURI
Ndugu wateja wetu, tunapenda kuwajulisha kwamba Tumesitisha kutoa huduma katika ofisi yetu ya DAR FREE MARKET.
Tutatoa taarifa zaidi siku za mbeleni. Ahsanteni sana kwa kutuamini na kuendelea kufanya kazi nasi.
Asante kwa kunipokea na hongera kwa kutumia michango vyema. Hujakimbia na michango ๐ .
Hakika ulistahili kupata support ndani ya muda mfupi tumeona matokea chanya. Hongera mno.