Kijana wa miaka (25) Mkoani Dodoma atiwa Mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mama yake mzazi, Mwanafamilia Tupe mtazamo wako unadhani kwanini vitendo hivi vinaendelea vinashamiri nchini, tujuze pia nini kifanyike zaidi ili kuvitokomeza.......
Mkutano wa Hadhara tupo kijiji cha Nzivi kata ya Igowole Wilayani Mufindi Viongozi waliotuhumiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ikiwemo ujenzi wa Zahanati warejesha fedha hizo huku miongoni mwao wakianza kuhojiwa na TAKUKURU
MWANAFAMILIA KENYA WAMEILAZA TANZANIA JANA KWA GOLI 3 KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA AFRIKA (AFCON) UNA USHAURI GANI KWA KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOENDELEZA MAPAMBANO NCHINI MISRI.