Haiko serious namna hyo kaka, hii ni banter ambayo "X football" tunapigana sana tu, hata mimi napigwa spana sana, watu kunitag sio kwamba mimi najua lugha ni kwa sababu tu kwa UPENDO wao wameamua waikuze Account yangu kwa style hiyo na nina'appreciate sana UPENDO huu.
@RaphaelMazengo@ebrAFC@Calvertson1 Very Normal Error Sometimes Keyboard InaSuggest "You" Wakati Ww Umeandika "Your" Na Usione Ukaendelea KuType. Ingekuwa Umeweka "Your" Kwenye "You're" Hapo Sawa. Na Pia Ukiona Mtu Anaanza Kukomalia Typing Errors Jua Hana Comeback Ya Mada Iliyoko Mezani Ana Diverge.
Habari @PSG_English
Mimi ni Mwinshehe kutoka Minaki, Tanzania — mwanachama na shabiki mkubwa wa klabu yenu. Leo ni siku muhimu sana kwetu na kwa mashabiki wote duniani wanaotuunga mkono
Ninawatakia kila la kheri katika mchezo wa fainali dhidi ya Arsenal. Tuna imani na uwezo, nidhamu na moyo wa ushindani mlioonyesha msimu mzima. Pambaneni kwa nguvu zote mcheze kwa umoja na kujituma na mlete kombe nyumbani
Tanzania ipo nyuma yenu. Tunawaombea mafanikio na tunasubiri kuona PSG ikitwaa ushindi katika fainali ya leo
Allez Paris Saint-Germain!
Wako mtiifu
Mwinshehe kipozo
Kaka I'm not even joking, nikiwa chuo nilienda field sehem moja inaitwa Kwamatuku, Handeni mkoani Tanga. Kodi 15 monthly. Hapa Dodoma kuna kijiji bi mdala analima kinaitwa Kalamba kipo Kondoa kodi 20k. Wasee em tembeen hii Tz kuna mambo 😂🙌
Vingungut tu hapo Machinjion mtaa mzima wagogo, kuna vyumba had vya 30k Daladala had Bugurun sheli mia 6 ila ndo hvo Broiler hawez ishi wanakaa wa Habesh tu. 😂