Usaliti wenye hasara zaidi ni ule unaoufanya dhidi yako mwenyewe—kutokujiamini; kutokutumia vipawa vyako; kutokutambua thamani yako; kutokujisamehe; kujihukumu kwa makosa usiyoweza kuyarekebisha; kulazimisha yasiyowezekana; kuwa tegemezi kupindukia kwa watu.
If you are early in your career and you want to get ahead - you want to be known for two things: 1. bringing solutions and not excuses and 2. focusing on the result instead of the process.