Ronaldo baba si unajua una deni leo
Andunje katuvizia tumelala kaweka tatu,
Mbappe ndio huyoo kawaka
Haaland si umeona balaa lake
Tuokoe baba, wale congo hata wao wanakushabikia so we uwe unalenga goli tu๐
Kabla ya kuzungumzia composure na ujuzi wa Mpanzu em tuzungumzie ile pasi ya Chama ๐ฏ
That killer pass kutoka kwa Chama, ile pasi ya mauaji kutoka kwa mwamba wa Lusaka
Ni ile pasi ambayo beki akitaka kuizuia anaweza kuvunja nyonga....that passs ๐ฅ
๐จ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: Marcelo on Messi's tackle against Algeria on SporTV:
โThis is a red card, but because it's Messi there's nothing [no card]โ ๐ณ๐ฅ