Dude sasa ni hili ukicheki hili huwezi kupepesa macho pembeni, mwanzo mwisho utakuwa makini kufuatilia. Huu ni moto sanaπ π₯π₯π₯
Kama hujaliangali kaliangalie π¬π₯π₯πΏπΏ
UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA
1. Ukishinda, funga mdomo wako. Kaa kimya sio kila mtu anapenda mafanikio yako. Ukimya una nguvu
2. Usiwaambie watu kuhusu mipango yako. Acha matokeo yajieleze yenyewe.
3. Usitegemee kamwe kupata kile unachotoa. Sio kila mtu ana moyo kama wako.
4. Kila siku unapoamka salama basi tambua, una kazi mpya kuwa bora kuliko ulivyokuwa jana.
5. Dunia haijali hisia wala maumivu yako inajali matokeo yako tu
6. Wakati mwingine kile unachotaka kushikilia ndicho hasa unapaswa kukiacha.
7. Mungu huleta watu katika maisha yako kwa sababu fulani, na huwaondoa katika maisha yako kwa sababu fulani. Using'ang'anie mtu
8. Utapoteza na utachukiza watu wengi pindi ukianza kufanya kile ambacho ni bora kwako.
9. Sehemu unayotafutia Riziki yako ina maadui wengi kuliko Sehemu unayoishi. Kazini sio kila mtu ni rafiki yako kuwa makini
10. Maisha hayajawahi kuwa Rahisi bali yanakufanya unakuwa imara Zaidi.
Naheshimu jasho la Shomari Kapombe, naheshimu sana talanta kwenye miguu ya Fundi Anicet Oura na Libasse Gueye anayezima kokota mpira kama ana laana,
ila Nickson Kibabage ni Man of the Match, what a talent, what a Player! MAN OF THE MATCH.
MAN TO MAN
Mwanaume anakuwa imara na wa thamani ya juu zaidi pale tu anapojiboresha katika maeneo haya:
1. Kupambana na msongo wa mawazo Jifunze kutawala akili yako, si mawazo yakutawale wewe. Utulivu wa akili ni silaha ya mwanaume makini.
2. Kiuchumi, inatakiwa upambane hadi uwe na uhuru wa kifedha. Heshima nyingi huja pale unapoweza kujisimamia mwenyewe.
3. Kihisia : Dhibiti hisia zako, usiwe mtumwa wa hasira, huzuni au tamaa. Mwanaume imara hutawala nafsi yake.
4. Kimwili : kujenga mwili wenye nguvu na afya. Nidhamu ya mwili hujenga pia nidhamu ya maisha.
5. Kifikra : Soma, jifunze, sikiliza wenye hekima. Maarifa ni nguvu ambayo hakuna anayeweza kukuibia.
6. Kiroho : Mwanaume mwenye imani ana mizizi imara. Hata dhoruba kali likija, haanguki kirahisi.
7. Kijamii : Chagua marafiki sahihi. Watu wanaokuzunguka wanaweza kukujenga au kukuangusha.
8. Kimaamuzi : Kuwa na msimamo. Mwanaume halisi anajua lini aseme ndiyo na lini aseme hapana.
#UZI
π¨HONOR ROBOT: SIMU AU ROBOT? π€π±
Jana usiku Honor wameamua kutuletea "Robot" mkononi! π€ Simu mpya ya Honor imezinduliwa rasmi na sifa zake siyo za nchi hii.
Hii siyo smartphone tena, ni AI Agent. π§΅π
π¨ Samsung Galaxy S26 Ultra inatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho kutwa, Jumatano, Februari 25, 2026, kwenye hafla ya Galaxy Unpacked kule San Francisco.
Na inatarajiwa kupatikana madukani kuanzia Machi 11, 2026.
Awamu hii tutarajie simu yenye privacy display kwa mara 1
ππ