Qadr.
If it is meant for you, it will find you.
Sabr.
Because what is Written to be yours is already yours.
Tawakal
If something is destined for you,
never in a million years will it be for somebody else.
Kama una dogo wako amesoma masomo ya Sayansi na ana ufaulu mzuri mpeleke DON BOSCO KIIITEC Arusha, wana scholarship kwa kozi za diploma mfano msichana na atasoma bure kwa kila kitu hadi uniform na wakiume atalipa nusu ada.
Siku watanzania tutakapoelewa concept ya compounding, ndo utakuwa mwanzo wa kuuaga umasikini.
Hela tunaipata ila kwa sababu tunadhani ni kidogo, inaishia matumboni.
Masikini hapendwi na;
1. Marafiki zake
2. Watoto wake
3. Ndugu zake
4. Mke wake
5. Mume wake
6. Jamii iliyomzunguka
7. Viongozi wake
8. Wazazi wake
9. Mpenzi wake
10. Mchungaji/sheikh wake
Jitahidi tu uondoke kwenye hilo shimo.
Tabia hizi zitakufanya uwe mtu wa maana Sana hapo baadae.
Five habits that will make you unstoppable.
1.Tabia ya kuamka mapema.
Kuamka mapema kunakufanya uweke mambo yako sawa na kuifanya akili iwe vizuri.
Inachukua masaa mawili baada ya mtu kuamka ili akili yako ikae sawa hivyo Kama unaamka saa moja akili yako itakuwa sawa zaidi saa tatu na utakuwa umechelewa kufanya mambo yako.
Ukiamka saa kumi na moja mambo yako yataenda vema Sana maana akili yako itatune mapema.
Ukiachelewa kuamka siku inaweza kuwa ya hovyo zaidi kwenye utendaji.
Anza kuamka mapema!โ ๏ธ
2.Tengeneza tabia ya kuweka akiba .
Kama huweki akiba weka bila kujali kipato chako ni kikubwa au kidogo.
Kama utaweza kuweka 100 kwenye 1000 basi utakuwa mtu unstoppable hata ukipata 100,000 Tsh.
Ukiendelea kusingizia kwamba ni kidogo basi hata ukipata kikubwa huwezi kuweka kamwe!.
Kumbuka Kama utashindwa kuwa mwaminifu kwenye kidogo basi kikubwa huwezi kuwa na Imani nacho.
3.Tabia ya kujifunza .
Hakikisha kila siku unajifunza kitu kipya, Kama hujifunzi wewe utakuwa mjinga na mwongo mwongo Sana.
Kila kitu kinapatikana kwa kujifunza acha ujuaji Kisha Anza kujifunza.
Tafuta eneo moja bobes hilo utakuwa ni balaa.
4. Tabia ya Kumwamini Mungu.
Hata Kama una nguvu na una kiburi hakikisha mahusiano yako na Mungu yapo safi.
Amini uwepo wa Mungu, Fanya ibada Sana Kisha subiri Mungu afanye kuleta baraka.
Believe in supernatural power Lord.
Utakuwa unstoppable!
5.Tabia ya kuuza /kufanya biashara.
Hakikisha una biashara hata Kama ni ndogo . Hata ukiwa kwenye ajira yako wewe fanya tu. Fanya kujenga uzoefu huko.
Kama haufanyi biashara wewe kila siku utakuwa unapeleka pesa kwa wanaofanya huwezi kupewa pesa baada ya kuuza kamwe.
Uza !
Uza!
Hii tabia jifunze baadae ndo itakuwa ujuzi wako.
Niambie hapa kama Imekusaidia!
Weka reaction yako hapa ๐๐.
Mimi imenisaidia hii.
Kama mwanaume huwezi kuacha kutumia pesa. Omba Mungu asikujaalie mtihani wa kupoteza vyanzo vya kuingiza kipato. Dunia haina heshima yoyote kwa mwanaume asiye na kitu.