Bora hao CHADEMA wanaohangaika ku navigate jinsi ya kumanage influence ya wanaharakati, matakwa ya wananchi na direction ya chama chao. Ni kweli wana wakati mgumu wa ku manage hivyo vitu vitatu kwa wakati mmoja.
Nasema bora Chadema maana hata na hizo changamoto nilizotaja hapo juu, hiki ndio chama kinachoungwa na wananchi, hiki ndio chama kilichobeba ndoto na mategemeo ya wananchi kwenyw kuleta uwajibikaji wa mauaji ya October 29 na kuleta haki.
Nyinyi CCM mmepotea kwenye ramani, mlichobaki nacho ni bunduki na ukatili ili mbaki madarakani. Nyinyi mnachukiwa na wananchi kuliko hata shetani mwenyewe. Nyinyi sio chama cha siasa tena, mmekuwa chama cha kigaidi sababu mna- Terrorize wananchi.
Alafu vipi, bado unamlilia Heche akatoe pole au unamlilia Nchimbi akatoe pole?? Yani kati ya pole ya Nchimbi na Heche kweli CCM mnalilia pole ya HECHE???? Kweli mmeishiwa mpaka mnatia huruma. Hamjui Nchimbi alipo, ila mnahangaika na upinzani kutoa pole ili mjisafishe na mauaji.
Mmebaki kuwapanikisha CHADEMA kuwa wanaharakati wana wa control ili mtugombanishe tugawanyike. Mnafurahi mkiona wasaliti ndani ya Chadema wakiwa wanajaribu kushusha temperature ya wananchi kudai haki kwa kuwaambia wawe na huruma na kimama sababu kafiwa as if sisi hatukufiwa October 29, au kusema โsiasa sio uaduiโ. Baada ya October 29 na Lissu kuteseka jela zaidi ya mwaka hakuna mpinzani wa kweli anaweza kusema siasa sio uadui . Sema Jueni hao wasaliti sisi wanaharakati tutawa flashout haraka sana kabla hawajaleta damage kwenye movement.
Yani ni hivi mnapoteza hizo pesa zenu kulipa wasaliti ndani ya CHADEMA, sisi wanaharakti tutawa neutralize haraka sana hamtoamini.
Na nikwambie tu wewe jamaa kuna siku uta regret huu ushenzi unaofanya kwa Watanganyika wenzako kwa manufaa yako binafsiโฆ.