Wikipedia inaniambia dunia inazaidi ya miaka billioni 4 na maisha yamekuwepo karibuni miaka bilion tatu na nusu, sasa mbona tumepewa umri mdogo sana wa kuishi, miaka 120 kwenye bilioni 3 sini kitone???🤔🤔🤔 are we that special kweli kama tunavyo jichukulia??
Mshkaji Wako Anakuomba Umsindikize Kwenye Party Flani, Unakubali. Mnafika Na Wakati Mnakaribia Kwenye Meza Yenu Ambayo Ina Watu Kadhaa Tayari, Mwanao Kabla Hajakutambulisha Anapigiwa Simu Na Anaipokea Anaenda Kuongea Pembeni, Anakuacha Unakosa Pozi Kwenye Meza Ya Watu!! I HATE IT
Kila Jimbo Kuwe Na Wabunge Wawili, Mmoja Akae Jimboni Mwingine Akae Bungeni, Wagawane Huu Mshahara Anaopata Mbunge Kwa Sasa, Ni Mkubwa Sana Na Unatosha!! Hii Itapunguza Malalamiko Ya Kwanini Mbunge Hafiki Jimboni? Mmoja Awe Anaamsha Bungeni, Mwingine Anakitifua Jimboni!! 💪
Kuna saa emoji zinaweza kukusaliti na kukuaibisha kijinga sana
Mama yake rafiki yangu: Idris nimeipenda sana DANGA, episode 4 lini bhana?
Mimi: Asante sana mama 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🍆🙏🏽🙏🏽
📷 Mkurugenzi Mtendaji Wa Clouds Media, Big Boss @josephKusaga Itakapofika Saa Sita Ucku Wa Leo Atazungumza Kupitia @cloudsfmtz Na @cloudstv unaweza Kuangalia Kupitia YouTube Ya #CloudsMedia.... https://t.co/LZODd9nUVC