Ayaiyaa!! Kuna sasa trouser ingine nimeona warembo wanavaa hapa Nairobi,trouser haifiki kwa kiuno kapsa. Iko apa chini ya kiuno. Alafu akisaavaa namna iyo,anavaa surual design ingine surual inakuja inapita trouser inaenda juu kwa kiuno. Surual imeovertake longi,sijui kama mnaona hiyo picha? Kwanza sasa ukiiangalia hapa kando,hapa juu ya hips,unaona vile hii kitu imevurutwa kutoka huko chini kerio valley imekuja juu,alafu huku nyuma inateremka tena inarudi west pokot. Omailod!! Bwana unaangalia msichana namna hii unaskia kisungu sungu,unaskia kurukia yeye kama jogoo bwana. Eeih! Mkiskia nimeuza ile ka 30 by 60 yangu rumuruti msinilaumu,wameniweza. Khabusie!