@MickyJnr__ You are very stupid. Biased and untrusted especially when you talk about Yanga. Good thing is that you are small jounalist with no influence.
@SuluhuSamia Pole sana Mama kwa msiba huu mzito kwa Taifa letu. Hakika Nchi imepitia katika vipindi vigumu hivi karibuni. Muda wote umesimama na kuwa mtu imara sana na kutuvusha kama taifa. Sio rahisi kuwapoteza washauri muhimu na bado ukaendelea kufanya vizuri. Pumzika kwa amani Mzee wetu.
@ayubu_madenge Huyo ametafuta fursa ameipata. Atakuwa maarufu atahamia mjini afungue kanisa apate waumini wengi na apige sadaka awe tajiri. Kifupi ameamua kuwa mjasiriamali
@AbroadTanzania Watanzania wote tunajua taarifa zako si za kweli. Sasa naona umeamua uchafue chuo cha Dodoma. Sisi tuliosoma pale tunajua kuwa chuo kile kimenyooka na hakiko hivyo unavyoeleza.
@TanzaniaLeaks Structure kubwa namna hiyo unategemea ijengwe isiwe na ufa hata mmoja? Vitu vingine ni vya kawaida tu wala havihusiani na upigaji, na vinarekibishika haraka tu, hata wewe kama umejenga unataka kusema hujawahi kuona hata ka ufa kamoja?
BEI NI 190,000.
0769092544.
free delivery within Dar es salaam, payment on delivery.
Visit us at Kariakoo, Nyamwezi and amani street, near makonde mosque.