#TajiriLaKihaya
A Russian Guy kaenda Kenya Kawakula Wanawake sio Poaโฆ
Kitu kizuri ni kwamba wote aliowakula ni WASIMBE!
Ndio maana kila siku nawaonya kuhusu WASIMBEโฆ wananjaaaa Kali na kizungu Uchwara ๐
Nmekuwekea VIDEO zake zote hapo chini๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza Tume ya Uchaguzi kumuengua Luhaga Mpina wa ACT asigombee Urais licha ya kuruhusiwa na Mahakama?
3.Ghafla kwa kutumia pesa hizo akashawishi wapiga kura zaidi ya Asilimia 80 wajitokeza Kupiga Kura? Na kwa miujiza akaiwezesha tume kujumlisha kura 31,000,000 kwa kasi ya kimondo.
4.Akamuamuru IGP na IGP akatii agaizo la Kijana asiye mzalendo ? atangaze Curfew ndani ya dk 40 kabla ya kuanza utekelezaji?Bila kujali watoto wa mitaani na watu wasio na Makazi watahifadhiwa wapi na kwa namna gani? Wala wananchi watarudije makwao?
5.Kijana huyu asiye mzalendo akaamuru Polisi watumie silaha za Moto na kupiga waandamanaji risasi za vichwa,Tumbo,Viuno na Kifua? na kuwezesh maiti kujificha zenyewe ili zisizikwe?
6.Akaamuru Maiti zifichwe ili wafiwa washindwe na mwishoni kuzika viatu na nguo za marehemu wasione miili ya ndugu zao?
7.Akaamuru iundwe tume ya Uchunguzi isiyo Huru na kuagiza iitwe Tume Huru?
8.Mpaka leo serikali imeshindwa kukamata Askari walio uwa watu wakaishia kukamata ndugu wa walio uwawa na vijana wasio na hatia maake siku hizi ukikohoa au kukosoa sacarstically watukufu ni uhaini na hii ni kwa muji u wa kijana huyu asiye mzalendo?
9.Akaamuru Mtandao ufungwe kwa siku kadhaa ?!ili aweze kututandika risasi kimyakimya kutimilisha ubazazi wake? Sasa hii si ndiyo sababu nzuri ya kuunda Tume ya Uchunguzi iliyo huru na Jumuishi ya Kimataifa.. ili tuwachemshe supu hawa mabeberu?
10 Na kwa nguvu hiyo hiyo hataki Tume Huru ya Kimataifa au iliyo Jumuishi ya kutafuta ukweli wa jambo hili?
TAIFA LINAHITAJI HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKJA
Unahitaji kuwa professional wa upumbavu kuikubali nadharia hii tepetevu.
BAK MWABUKUSI.
Tofauti Ya Mahusiano Duniani Kati Ya Italians, Americans, French vs WaTanzaniaโ
Shuka Na Uzi โคต๏ธ๐งต
Mahusiano ya Waitaliano๐ฎ๐น:
Siku ya 1 = Sex
Siku ya 2 = Sex tena.
Mahusiano ya Wamarekani๐บ๐ฒ:
Siku ya 1 = Chakula cha mchana
Siku ya 2 = Chakula cha jioni na hugs.
Siku ya 3 = Sex
Siku ya 4 = Sex again.โฌ๏ธโฌ๏ธ
๐จDaaaah ๐๐๐ MAPENZI shikamoo Hadi CHURCH girl kasalitiwa PENZI Lili ombewa Hadi na mchungaji. We kuweza KUSEX mpaka NDOA UPWIRU unatesa vijana ๐ฎ๐๐ฟ
๐๐ถ๐ท๐ฌ๐ต ๐ป๐ฏ๐น๐ฌ๐จ๐ซ & ๐จ๐ซ๐ฝ๐ฐ๐บ๐ฌ ๐ฏ๐ฌ๐น No. 1/6๐๐ฟ๐