1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa
2. TAL atatoka soon!!
3. Then watakaa mezani
4. Tume ya J.Chande itakabidhi report.
5. Report itakuwa iko balanced,
Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali)
6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!!
Lengo kuu ni 👇🏻
Let’s buy time till 2030!!
Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!!
Sasa unajua mchawi ni nani?
Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆
Pale kwenye kukaa mezani pale
ndio panaenda either
kusupport au kuvuruga hii plan!!
Happy New Year Kyoma @_zack255 na wenzako!..Kazi mmelifanyia taifa hili imetukuka sana na ninyi ni hazina kwa taifa hili!..
Vumbi limetimka siyo la kawaida lakini likitulia tutafanya tafrija baada ya kusaini kwa wino mwekundu!..
🇹🇿 kwanza... 👍
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: https://t.co/aWUNyohomc
Hivii Ni Bora Ufanye Biashara Kwenye Mzunguko Mdogo kwa Kodi ya 200,000.
Au Ufanye Biashara kwenye Mzunguko Mkubwa kwa Kodi ya 1M mfano Kariakoo.
Yapi Yatakuwa maamuzi sahihi kwenye Biashara..?