Hii ni mikutano miwili kati ya Mikutano zaidi ya 160 niliyozunguka nchi nzima kuhubiri injili na kuwajenga wananchi katika kuipenda nchi yao. #TanzaniaNiYetuSote#TanzaniaKwanza
@Nadr019@ReganTesla_ unakuja wa kuitikisa ccm zaid ya zilizopita, suo kuitikisa tu, na kuchukua nchi, chama atakachoenda Gwajima, kitachukua Urais, Gwajima the next President... kwa mujibu wa manabii