@justyfromNorth@ayubu_madenge@MadarakaNyerere Ile vita ya kagera ni muendelezo wa vita ya Congo https://t.co/pwIjuKohd1 hesabu kali sana.Idd Amin hakuvamia Kagera bali tuliingizwa mkenge.
@Chahali Ni ndugu yake Pole Pole alisema hivyo na sijui kama kweli yule jamaa alikuwa ndugu yake kweli.Tukumbuke Mpango alijitokeza hadharani wakati wa korona.