Ukimsikiliza Sativa Kwenye documentary ya BBC.. kutekwa kwake, kupigwa risasi na kutupwa kwenye pori lenye wanyama Katavi.
Unapata picha kwamba watu wengi waliotekwa na kuuwawa, pengine wametupwa kwenye mbuga na mapori ili waliwe na Wanyama kupoteza ushahidi.
Lakini katika Dunia ya sasa hakuna ushahidi utapotea…
Iko siku kila kitu kitakua wazi.
Halafu mtu usikie wauaji na mumiani hawa wakizungumzia maridhiano! Bila hawa mumiani kuwajibishwa wote na kufahamu kiwango cha uovu wao ni usaliti mkubwa kwa nchi yetu na wote waliouaws, kuteswa, na kutiwa vilema vya mwili na akili. Mwenye macho aone.
https://t.co/WAntABz69Y
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026.
Zimebaki siku saba tu,tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu.
#FreeLissu