| Book Reader | Believer | π AI Advocate | Infusing Your Feed with AI Brilliance | Making Complex Concepts Accessible | Welcome to the AI Wonderland!
UNATUMIA AI(AKILI BANDIA) KWENYE
MAISHA YAKO YA KILA SIKU?
Moja ya AI zilizo pokelewa
Kwa mshindo NI BOTS,
Maarufu ni CHATGPT & BARD
Yamkini bado ujajua
Namna sahihi ya kuzitumia
Bots hizi
Au labda bado ujafaham una connect
Vip teknolojia hizi na activities zako
Za kila siku
Yote ayawezekani kama sipo imara
Now najifunza usimamizi wa biashara
Na matumizi mazuri ya fedha
Kwasasa kama kiongozi
Nahitajika kuwa bora zaidi
ili kukuza biashara
Na kuangaza wengine
Kama hitaji la moyo
Wangu
Aluta continua, harakati zinaendelea
Natamani kuajiri watu wengi zaidi na zaidi
Katika nchi hii yenye changamoto ya ajira
Nishiriki kutatua
As for now nimeajiri mmoja
Soon naongeza wa pili
After 2 years wawe ata 10
Mimi ni nuru
Nitumie kuangaza maisha ya watu