We were born to love: God, parents, partners, children and nature. But also, being patriots to our own native lands. I'm proudly being a Tanzanian πΉπΏ
MADINI YA WAZEE:
Fanikiwa uyafurahie maisha. Utengeneze familia bora. Kids wasome Mazinde, Feza, Tanganyika, ISM na London.
Usitafute maadui wala laana za maskini kwa kuwakebehi kwa namna yoyote hata kama ni sehemu ya marafiki zako waliowahi kukutishia kivyovyote.
Fanya social responsibility zingine zozote kadri uwezavyo, na tangaza msamaha kwa wanaokukosea mapema kabisa so long as haikuathiri popote.
At last, stay humble and ready for whatever kind of death but good above all, have a ticket to heaven!
Enzi zetu tunakua unamuangalia Bruce Lee, Don yen, Jack chain, na Jet Lee. Unapata definition halisi ya masculinity na mtoto anavyotakiwa kuwa.
Siku hizi wanaangalia hawa feminine boys na unakuta kuna wanaume wanashabikia kabisa kiasi yeye, mke wake na watoto wake wanafatilia.
Movie nzima hawajaenda gym wala kufanya mazoezi ni mapenzi na watoto wa kiume kushindana uzuri na kuvaa.
We have lost our way.