"Give them the education which will train their heads to refuse the wretchedness of mind and skill their hands to develop the resources of Africa."
Courtesy of Mwl. J.K Nyerere
@Tigo_TZ Nadhani hivi mnavyoita vifurushi vipya havijazingatia hali halisi ya uchumi wa mtumiaji. Au niko nchi tofauti na TZ.
Your current packs are too expensive. Mmetoa dk ili tununue MB sio?
Sijaelewa kinachoendelea @Tigo_TZ Kwenye Vifurushi. Ni SAIZI YAKO au SAIZI YENU? Mlisema kuanz tr 7 had 13 but leo mnasema hadi tr 18 oct.
Mna nini nyie au tuhameee
Badala yake tuona sms za WAJANJA hawazimi data ili hali kule vijijini hiyo data hata haifanyi kazi. Mnasubiri nini?@MagufuliJP@majaliwa_kassim @umwalimu @TCRA_Tz @JamiiForums
@VodacomTanzania Ukweli ni kwamba Mawakala wenu wanawatoza pesa wateja wao. Kila mmoja sh. 1000 au zaidi. Nimeona hii kwa macho yangu nilipoenda SAME kilimanjaro