@FKihamu Aliposign kuendelea na simba ilikua lini? Hakupewa signing fee? Kama pesa ya kumtoa Simba ilikua 140mil, basi bila shaka alikula sio chini ya 80mil kama signing fee na Simba.
Binafsi naona ubabaishi kwa upande wa hizi timu zetu, ukianza kucheza tu wanaanza kukuzungusha.
@FKihamu Izo vitu kwa wakristo ni kawaida sana, haswa ukiwa unaoa uchagani au Wahaya unapewa mkeka mrefu. Japo itatajwa 8mil sio lazima umalize yote. Ila total expenditure lazima utimie 6+mil.
@MickyJnr__ You will be forgotten in a week, then you will starve. Stop being a cry baby, man up and Hustle. We hate your biasness not you as a person. #Hustle
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
@JamiiForums Huu mwezi nimeletewa Billi ya Unit 41. Na nimeangalia Mita ndani ya siku 2 zishaenda unit 6. Hii imeanza baada ya kubadilishiwa Meter mpya na DAWASCO. @dawasco_tz