@JamiiForums Kw tuliopo Morogoro leo tuna adha kubwa sna y usfr kutokana na kunyesha mvua kubwa majira y saa tano had saa saba mchna mawasiliano meng y njia yamekatika hapo kihonda mbuyun ndiko penye chagamoto kubwa maji n meng mno.
Rais Samia anasema hana mpango wa kuandika Katiba Mpya sasa ila anataka kutoa elimu ya Katiba iliyopo kwa miaka 3. Chadema tunasema tunataka Katiba mpya sasa
Kama unakubaliana na Chadema #Retweet
Kama unakubaliana na Samia #Like