Jiunge nasi kuanzia saa tano kamili tukizungumza juu ya UTT-AMIS na namna ya kuanza uwekezaji kwenye taasisi hii ya uwekezaji wa pamoja. #Uwekezaji#UttAmis
@tracyrabi@VodacomTanzania@Clouds_TVtz@dstvtz Tunatakiwa tuendelee kuwajenga watoto kwenye elimu ya fedha ili taifa la kesho liwe taifa lenye uelewa wa jinsi fedha inavyofanya kazi.
Ukiwekeza kwenye soko la hisa margin ya ukuaji ni 8% mpaka 10% kwa mwaka, ukiwekeza kwenye Majengo margin ya Ukuaji ni 15% mpaka 20% Lakini ukiwekeza kwenye ardhi margin ya Ukuaji wake ni 124% kwa mwaka
Njoo upate data kamili kisha ufanye maamuzi yenye tija ni Tarehe 14/10/2022
NI ZAMU YA #DODOMA
MADA:
1. Usimamizi wa Fedha Binafsi
2. Usimamizi wa Madeni
3. Mtazamo Juu Ya Fedha
4. Uwekezaji Kwenye Hisa
5. Uwekwzaji Kwenye Hatifungani
6. Uwekesaji na UTT
KIINGILIO:
35,000/- Mpaka 15/05/2022
50,000/- Kuanzia 16/05/2022
Wasiliana na 0755 518 289
Whatever you do, donβt camp at the fork in the road. Decide. Itβs far better to make a wrong decision than to not make one at all.
Chochote utakachofanya, usibaki njia panda. Amua. Ni bora kufanya maamuzi ambayo sio sahihi kuliko kutofanya maamuzi kabisa.
#Decide#Amua