Papa Francis amenukuliwa na shirika la habari la BBC kubariki ushoga ndani ya kanisa katoliki.
Kwa kifupi Papa Francis na TEC ya akina Padre Kitima wao suala la ushoga ni jambo la kikanisa na sasa wanataka lihalalishwe ndani ya mifumo yao ya kanisa ili sasa wapate fursa ya kuoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake.
Tunategemea kabisa Padre Kitima na TEC watoe kauli na waraka mzito sana wa kuunga mkono jambo hili kwa kuwa limesemwa na kiongozi wao mkuu wa kanisa lao.
TEC haya sasa ndiyo mambo mnatakiwa kushughulikia ili waumini wenu waanze kuoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake kama ambavyo kiongozi wenu kapendekeza na hata nyinyi sasa muoane. Siyo mko bize tu na mambo ya kuleta uchochezi na kutoa matamko kupinga serikali na kujiona nyie ndiyo kila kitu kwenye maamuzi ya maisha ya watanzania.
Kwa kuwa nyie TEC ni mashuhuri na mnawashwaga sana kwenye mambo ya kutoa na kuandika WARAKA basi tunasubiri waraka juu ya hili na usomwe makanisani kila jumapili ijayo.
Ni imani yetu mwandishi wa lundo la NYARAKA/WARAKA ndani ya TEC Padre Kitima utaandika waraka haraka sana ili uanze kusomwa makanisani bila kuchelewa ili waumini wenu wafaidike na fursa hii adimu.
#KigogoMediaUpdates
Ndani ya lisaa limoja na nusu Hakimu ameendesha kesi na kuandika hukumu ya kumfunga Mch. Mwakipesile jela, halafu wakati huo hakimu huyo ana kesi nyingi mezani kwake zina miaka miwili haziishi na upelelezi ulishakamilika. Nchi hii kuna matumizi mabaya sana ya ofisi na kodi zetu.
Mhe Rais nakusalimu.Muhubiri wa INJILI Mbarikiwa Mwakipesile amehukumiwa kwenda jela kwa miaka 3.Hakimu anasema alikuwa anahubiri INJILI bila leseni ya Serikali. Mwachieni huyu mtu, mnamuonea. Kwani ukitafakari mwenendo wake juu ya ukosoaji wa mkataba wa BANDARI Tanzania /Dp World ni dhahiri kuwa amefungwa kwa sababu hiyo.Kwa muda mrefu sasa serikali imekuwa ikiwafundisha au ku radicalize raia wake juu ya kupuuza hofu dhidi ya magareza na mateso mbalimbali.
TISS wangekuwa wanafikiri vizuri wasingeacha njia hii itumike.Siku za nyuma kabisa tajiri, mwanasiasa na wanaharakati ktk jamii yetu kusumbuliwa au kupelekwa jela lilikuwa ni jambo la dhihaka na kuhofia lakini sasa mmelifanya jambo hili kuwa la kishujaa, this is very wrong tactic kutoka ktk vyombo vya ulinzi na usalama.
Taratibu naona wanawake/wanaune wakianza kupuuza vitisho dhidi ya kufilisiwa,kufungwa na kuumizwa. Maana yake ni kuwa Serikali inaisaidia Nchi kwa haraka kufika ktk Tipping Point (Kukinai na kusema liwalo na liwe),Hatua hii haina majuto wala maumivu maana ina CHERISH hadhi ya mtu kuitwa marehemu kuliko kuishi kwa mateso na hofu huu ni wakati ambao binadamu anaweza kuchukua hatua yoyote bila kuogopa lolote.Jamii ikifika hapa ktk fikra hii n hali hii huwa inaunganishwa na Spirit ktk kuamua jambo.
Kazi ya TISS ni kutafakari mambo kwa mapana na ndiyo maaana ya intelligence analysis na kutengeza ushauri wa kuepusha raia kuishi na huzuni na uchungu wa kina ili kuepusha Nchi kuharibika.Ninajua mnamuona Mbarikiwa kama muhubiri mdogo sana maana hatoki ktk madhehebu makubwa Nchini, hili ni kosa kubwa.
Ukimya wa watu wanaoteseka sio ushindi kwenu wala afya kwa Nchi.Ngoja tuseme sasa ili watoto wetu wakituuliza ilikuwaje tuliacha Nchi nzuri kuangamia nasi tuwe na majibu na tuseme tulisema lakini tulipuuzwa hii itasadia amani kiasi katika nafsi zetu.
Siku ngumu inakuja kwenu kama haki haitakuwa msingi kwenu ktk kutenda. Haki ni Mungu na Mungu hawezi shindwa binadamu.
Nakutakia kazi njema mama.
Let's Love Lead Mum.
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?πΉπΏππ
BREAKING: Moja ya visima vya gesi asilia kule Mtwara, kimekauka. Hii ndio sababu kubwa ya mgao mkali wa umeme kwa sasa. Mtambo wa Kinyerezi unafanya kazi kwa kusuasua na Serikali iko mbioni kununua umeme nchini Msumbiji na pia kuwasha mitambo ya Rusumo.
Kwenye PDF kuna ndugu wawili John Ulanga na Peter Ulanga. John alikua Mkurugenzi wa TPSF na Peter alikua Mkurugenzi wa TTCL. Juzi (jumamosi) Rais Samia alimuondoa Peter TTCL akasema atampangia kazi nyingine, na nafasi yake akampa Maharage.
Hotuba ya Alphonce Mawazo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 mji mdogo wa katoro, Mawazo alikua fundi wa kujenga hoja na kushawishi watu, watawala waliua mtu muhimu sana Mungu awalaani.
R.I.P MPAMBANAJI.
Lilianza kujengwa 2013 limekamilika baada ya Miaka 10. Kanisa Katoliki parokia ya Kibamba linauwezo wa Kubeba watu 1300 tena limejengwa na Kupambwa kwa Urembo na teknolojia ya Kisasa inayolifanya kuwa Miongoni mwa Makanisa Mazuri hapa Nchini. Leo litafunguliwa rasmi na Aksofu
Leo nawaletea remix ya wimbo wa wanatuona nyani, ulioimbwa baada ya Sifa Bujune kukamatwa, unaokwenda kwa jina la Kenge furahia burudani hii mpenzi mpigania haki.
Ukiipenda chapa #Retweet
Kuwa wanaopiga Samia Spana Direct kama Sife Bujune na sisi wengine
Lakini hii imepigwa kitaalamu sana
@MariaSTsehai huu ujumbe MATAGA na mama Abul wataelewa kweli ?
Urithi wetu wenye
Mama wa kambo πππ super
Hii hata BASATA awatoboi