Hello, Moon. Itโs great to be back.
Hereโs a taste of what the Artemis II astronauts photographed during their flight around the Moon. Check out more photos from the mission: https://t.co/rzM1P0QbOl
Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama..
.
Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz..
.
Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja..
.
Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..
Kauli hii ya KIPUMBAVU inashusha hadhi ya Ndoa na Mwanamke. Mapenzi si โshowโ ya kununuliwa kwa iPhone, ni wajibu wa kiungu unaojengwa kwa upendo na heshima. Ukianza kujenga ndoa kwa zawadi, ujue umeiweka rehani.
Leo iPhone, kesho akipewa G Wagon nje anakuuza bila hata huruma. Ndoa si biashara, ni agano. Ukilifanya soko, usishangae bei ikipanda na wewe ukauzwa. Achaneni na hizi INJILI za Tik Tok.