Leo ndo MAANDAMANO yetu ya Amani yanaanza! Tunaenda kudai serekali ya mpito kwani nchi haina serekali mpaka sasa! Siku 40 nchi imekaa bila kuwa na serekali, IMETOSHA! MAANDAMANO hayana kikomo!
Tomorrow will be a very long day for Tanzania President Samia Suluhu. The whole world will be watching her actions when demonstrations kick off. Letu ni jicho tu
@mangekimambi Tutoke tutoke,, tanzania ni yetu sote,, vijana tunataka Haki , -uwajibikaj
-uhuru wa kutoa maoni
-watu wote waliotekwa na kupotezwa warudishwe
- watekaji wakamatwe wote mara moja