@iammwendawazimu@Ngailo@Thommunkondya Asilimia kubwa ya bidhaa TZ tuna import hasa bidhaa mama ambazo zina impact kwny soko either direct or indirect i.e mafuta n.k, exchange rate hapo inaleta imported inflation ambayo kimsingi kwa salary ileile ni HASARA na kuweka UTT ni best option coZ inflation imemezwa na riba
@Thommunkondya Asilimia kubwa ya bidhaa TZ tuna import hasa bidhaa mama ambazo zina impact kwny soko either direct or indirect i.e mafuta n.k, exchange rate hapo inaleta imported inflation ambayo kimsingi kwa salary ileile ni HASARA na kuweka UTT ni best option coZ inflation imemezwa na riba
@simbamkuu@IAmHaule Case kubwa hapa inakuja.. kwny ajira hujui utapangiwa wapi LGA au MDA Sasa unakuta unaomba lengo upate MDA unapelekwa LGA bila wew kupenda