Sugoi itinerary:
1. Tukitoka Lee funeral Kila mtu apige kanusu
2. Naivasha tukule nyama ya punda tujikumbushe vile umetuchokesha
3. Nakuru kanusu ingine
3. Salgaa tuangushe mwili kwa lami.
4. Hapo Timba tukunywe expensive whiskey na hatulipi
5. After mazishi Kila mtu abebe kuku
@monster0x0000 Sawa buda, wewe ndiye uliuliza analysis. Iko based on posts na RTs zako pekee. Franco na Ruto walitokea huko. Jidishi na wewe kama haujapenda.