@bosskitamb@kasesco_tz Hakuna mbinu ita wa accomodate ao, maybe ubahatike upate ambae malezi/ makuzi yake alifundishwa akafundishika yani anajua roles zake kwenye familia na asijione mtumwa bila kujali hali yake ya kielimu/ kipesa. Vinginevyo wasomi wanajionaga watumwa kufanya majukumu yao.