@LarryMadowo Brother jambo ulilofanya si jema kabisa, Tanzania ni nchi huru ina mamlaka zake halali, kwa kutengeneza story za kutuletea taharuk ni kuikosea nchi yetu hata kama tunafahamu unalipwa pesa nyingi sana, lkn tambua hili ni deni, Mungu yupo na atakulipa kwenye hili,
@romiboke @iam_meenaally @LarryMadowo Kwa kwel ni waz kabisa hakuna picha za halis hapo, yaan enoe la jiraha ni moja tu, sio kwel tuache kusambaza uwongo