@Ole_Songopa Hahaha, Ndugu yangu umeupiga mwingi sana.
Msiba wa baba wa taifa ulipita na hukutoa nasaha sensitive Kama hii.
But Enewei R I P ๐ญ๐ญ๐ญ Kwake..!!!
Anaitwa Muddy Mohamed Bouazizi raia wa Tunisia msomi wa degree aliyekosa kazi serikalini akaamua kuwa machinga.Serikali ilipobomoa kibanda chake cha uchinga alijitoa mhanga kwa kujichoma moto hadi kufa na kusababisha maandamano yaliyopelekea serikali ya Tunisia kupinduliwa 2011