Bandugu🤲..Licha ya kwamba success zetu nying zipo mikonon mwa WATUBAKI tusiache kuwatengeneza na kuwaheshimu Ndugu coz mwisho wa bata ukifa marafik wanainua simu kuwauliza ndugu wakusafirishe mkoa gani ukalale.
Natanguliza samahan bandugu🙏🙏.
@eastafricatv Kwa kuwa kapeleka 30 november hyo inamfanya Rude boy toto tundu kuwa mkubwa kwa kubaki na tarehe 18 nobember, Hivyo tunaamini mkubwa hakosei...whatever happened back then Rude boy was right. Thanks.
@prossoff Kaka wakikuuliza waambie waniajiri part time au full employment, Mimi ni Labour inspector/ officer by proffession na experience ya kutosha. Nimekuwa nikiwakagulia waajiri wangu wa sasa Task na perfomance perfomed by every individual in position.
@Maestrowafact Sasa akizima ana maintain nn kaambiwa huku ni Bellarus umeme unakata wiki kusema atakuwa anawasha akitaka kusalimia😁😁😁 wew usimaintain iache on hadi izime na umeme utakuwa unarud