@eastafricatv@jokateM Kiongozi unaruhusu unywaji wa pombe, baada ya wewe utoe mikakati ya kuwafanya vijana wawe bize na kazi ili wasijihusishe na ulevi.
@eastafricatv@AnthonyMavunde Yani Mwenyekiti wa mtaa unampa simu janja, nyumba yake haina umeme anaenda kuchaji kibandani simu yenye Mambo ya serikali si itaibiwa hiyo?