@baraghashially@waziri3wa_wapwa Umbwa wewe wanaenda kuongeza pesa kwenye mzunguko ambavyo itasababisha thamani ya pesa kushuka sana, pipi utainunua Jero, kingine inachochea mfumuko wa bei kwasababu pesa zikakua nyingi uitaji wa kuitumia utakuwa mkubwa kuliko bidhaa. Inflation Mather faka
@lifeofmshaba HIYO AMANI MNAYO IHUBIRI KILASIKU ITADUMUJE KAMA HAKI ZA RAIA ZINA ZURUMIWA HIVI MBELE YA MACHO YA WATANZANIA WOTE, HAMJUI KWA TUKIO HILO WANANCHI WANGAPI WAMEONDOKA NA CHUKI DHIDI YA MAMLAKA. VIONGOZI WANAOTAKA KUWEKA MAMBO SAWA NDO MNAWATUMBUA MNAWAONA MATAKO.
@millardayo Jambo la mtu kupotea kwenu @TZMsemajiMkuu ilikua jambo lakawaida sana hamkujalbu hata kukemea Raia tukaona kuwa serikali ipo na sisi pengine watekaji wanasababu zao, kukaa kwenu kimya kuwafanya Raia wajue nyie ndio wahusika, hatakama Fold wamehusika kuchochea, nyie ndio chanzo😮💨
@millardayo WE @millardayo Mbona kipindi kabla ya uchaguzi kuna watu walikua wanatekwa, miili ya watu inaokotwa, ulikua hutoi taarifa za serikali imefanya nini kuzuia hayo mambo. Nimjinga pekee atashawishika kufanya jambo ambalo halina sababu kwake, Kirichowafanya wananchi kuandamana
@millardayo Kilichosababisha watu kuandamana SIO hao Fold ni NYIE @TZMsemajiMkuu kwakuto zuia vitendo kabla ya uchaguzi, mtu akitekwa Dar aliko Mwanza Lazima Aumie hatakama sio ndugu yake, ilileta hisia mbaya kwa watu hao watekaji badala ya kuwanyamazisha watu walikua wanawatia hasira Raia
@ze_mandevu Kukosekana kwa Haki ndo kjnanuruga amani, amani mbona ilikuwepo kabla haki haijapondishwa, saivi Tanzania nikama kuna muhimili mmoja wa serikali 🤣🤣🤣 sio Bunge wala Maakama vyote vina shujudia executive
@TZMsemajiMkuu@SuluhuSamia Free mass media, Free and fair election, accountability, rules of rights, Human rights, political tolerance. Ndio nyezo za Demokrasia laini Nchi yetu haifuati hata moja 🤣🤣🤣🤣