DODOMA: MBUNGE wa Kuteuliwa, Shamsi Vuai Nahodha, amesema chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa hadhi ya elimu ya chuo kikuu nchini ni kutumia mbinu za kufundishia zilizopitwa na wakati.
Nahodha, aliyewahi kuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010 amehoji hayo leo Aprili 24 bungeni jijini Dodoma amehoji iwapo mfumo wa elimu nchini unaendana mahitaji ya dunia, kasi ya uvumbuzi wa kisayansi na teknolojia.
“Serikali ya China ilibadilisha Vyuo Vikuu 600 kuwa vyuo vya ufundi. Tunafundisha historia, tunaandaa taifa la namna gani? tunafundisha sarufi ya Kiingereza na Kiswahili badala ya kufundisha matumizi ya lugha katika muktadha maalum. Elimu yetu mahali fulani ina kasoro, viongozi tusikae kimya,” amehoji Nahodha.
Imeandaliwa na @ismailykawambwa
Zaidi Tembelea YouTube ya Daily News Digital
#HabarileoUPDATES
@TBConlineTZ Tanzania hatuna mipango miji endelevu katika miji yaani tuna mwachia mwananchi ndiyo apange mtaa ,kijiji na kata kitendo amabacho kinapelekea barabara kujengwa bondeni hence barabara kujaa maji wakati wa mvua . Nipo Rufiji kata ya Umwe mkoa wa Pwani.
@PMadeleka Shule yako imetusaidia nini? kama bashite ana msaada mkubwa na amekalia kiti ulichokuwa umekikalia kwa dk2 usomi wako utatusaidia nini kazi ni kugombana na wafanyakazi wenzio tu.
@roshnisonia1 I will just load my gun and pull the trigger until the firingpin explode and the bullet enter the womb of that maid damaging eggs and give out a fertile offspring like her.