Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Naona @HecheJohn kapandisha hii picha pale IG usiku huu.
Ni wazi sasa tunaongea lugha MOJA.
Hatuwezi kushindwa uchaguzi huu. Maumivu ya mchana tuyasahau, tuendelee kuamini kama tulivyoanza pamoja, tumalize pamoja.
Taifa letu sote hili. Hakuna kumzilia mtu, tutalilinda kwa WIVU MKUBWA SANA.
Repost 400 za kibabe.🫵🏾🔥
Chaguo la wananchi.
Kati ya @TunduALissu na @freemanmbowetz nani kati yao anafaa kukiongoza chama hiki kikuu cha Upinzani kukivusha katika Giza hili totoro
Re post kwa Lissu. 🔁
Like kwa Mbowe. ❤️
Jana tumeshinda mikeka mitatu. Leo tena tunaenda kushinda kibabe.
Kabla sijaanza kazi yangu ya mikeka naomba Repost 400 kwa Lissu kuwakumbusha wajumbe wa mkutano mkuu kuwa W/NCHI tunamtaka LISSU.
Tunaamini kupitia LISSU, kama wao wanatuwakilisha sisi basi haya ndio maoni yetu.
@godbless_lema@comanchechiefIV We ni kiazi kweli wanakwambia toa solution kwamba wakiacha leo hiyo kazi ya bodaboda watafanya nini,,,unajibu utazunguka kuitoa ccm madarakani