Kiwango kimoja cha kumtegemea Mungu ni kumuomba Yeye pekee mahitaji yako yote. Lakini kiwango cha juu zaidi ni kuamini kuwa baada ya kumuomba, Atajibu kwa namna bora zaidi, kwa wakati bora zaidi, kulingana na hekima Yake — si mipango yako.
Watu wanauliza kwa nini tunafurahia kilichomtokea Maduro. Jibu ni moja, kwa sababu alikuwa mkatili. Chini ya utawala wake, watu waliuawa, walifirwa, walipigwa, waliteswa, wengine walikanyagwa na magari ya vikosi vya usalama, na mamilioni walikimbia nchi yao kwa sababu ya njaa na hofu. Venezuela iligeuzwa gereza la wazi. Ndiyo, wapo wanaosema sheria za kimataifa zimevunjwa. Huenda ni kweli. Lakini sheria zinazomlinda mtesaji kuliko mteswa hazina uhalali wa kimaadili. Ubinadamu unapaswa kuwa juu ya karatasi za kisheria.
Cha muhimu sasa ni hiki, muuaji, mfiraji na mtesaji hana tena nguvu ya kukandamiza kama awali. Kama hilo linaitwa unyakuo, basi liitwe hivyo. Watu waliodhulumiwa wamepata pumzi. Na kama viongozi wakatili kama Maduro watakutana na hatima kama hiyo popote duniani, hilo si jambo baya. Ninaona pia athari za kukiuka sheria za Kimataifa. Lakini Upendo , Huruma na Haki ziko juu ya sheria yoyote.
@WallStreetApes The joy of Venezuelans after gaining freedom is truly inspiring.
May God also grant Tanzanians a day of genuine freedom and lasting peace.
@EricLDaugh It touches the heart to witness Venezuelans celebrating the end of an oppressive regime.
May God remember Tanzanians too and bless us with similar joy and liberty.
@HecheJohn Siku ya mwizi ni 40.
29 Oktoba waliwauwa watanzania.
9 Desemba ni siku yao ya hesabu.
Haki haitolewi, inadaiwa.
Na Watanganyika tutasimama kudai haki yetu.
#D9
Pesa huwa zinakata, marafiki wanabadilika, mipango inaharibika, umaarufu unaisha, connections zinakauka lakini MUNGU hajawahi kupungua. Mtegemee wakati wote, sio tu wakati wa Magumu yako bali pia wakati wa Mafanikio yako. Leo kabla ya kulala sema “MUNGU, mimi si kitu bila wewe”.