@JamiiForums Mnapotosha sio kuelimisha. Kutembea peku kuna faida kubwa kuliko kuvaa viatu
Unaepusha kuvimba kwa miguu
Kuna baadhi ya madini unayapata ambayo yanapitia kwenye nyayo na ni faida kwa mwili mfano madini chumvi
Zipo nyingi faida. Lakini hilo mlilochapisha hapo ni kupotosha watu