ENZO kafunga goli kashangalia sana kwa kuwazomea mshabiki wa England sasa waingereza wakiamua jambo lao atajua haujui waliweza kwa Ronaldo,Suarez,Thibaus,St.Cazora na wengine
ENZO kafunga goli kawazomea sana mashabiki wa England sasa waingereza wakiamua jambo laoo hataka kwa amani kama waliweza kwa Ronaldo, Suarez, Thibaus ,still cazora na wengine
@Cocolovemimi Mm vibaka walinikaba manzese wakaniambia toa kila nikawa sina ila ninakipande cha muhogo wakasema niwakatie tukawa tunatafuna huku wananisindikiza geto
@Makey187@Kicheche_jr Ww ndo mjinga ndo mana utasota sana hela mpe mama ako na dada zako ,kama huamini subri izo hela ziishe kama utawaona hao mademu zako
Kuna jamaa angu nilisoma nae form one mpaka three akafeli kuingia four kanicheki ananiambia ukipata nafasi ya kuondoka Tanzania usirudi afu kanikaribisha kwake LESOTHO π±πΈ π π