๐ซ.......Master plan and counselor of Society
๐จโ๐ผ.......Knowledgeable in community development
๐จโ๐ป........Now BHRM in T.I.A๐
๐๐ YANGA and MAN U โค
@zoetjesheeftX Haya ya ndaro ndio yangu sasa Tena juzi Tu Toka jmos mpaka Leo Niko singo kaamua kununa Tu. Na me nimekausha hakuna mda wa kubembeleza kwanin Tunaoa hapo ๐
@PolycarpMDM Kwanin na wenyew wapike vibaya mbona wenyew. Wanakula vyakula vizuri huu ni uonevu. Kwan hawa wanafunz ndio Wana haki ya Kula vyakula vya ajabu.
@mlinganya Me nikisema Nioe mwanamke mwenye mtoto stoi mahari bna yaananme nampa heshima ya kuishi nae na kumtunza afu tena nitoe mahari akat jamaa lenye mtoto limezalisha bule na limeacha hapo
@TMnyama4_ Mwambie Atafte frem ilio changamka center
Atenge Laki Tano Kodi Laki Tano maboresho ya ofisin, anunue kabati na display bord Afu anunue Vifaa vya PHONE ACCESSORIES vya 2M mtaji wake huo atakuja kunishukuru. yaan hapo atakuwa akiuza hata chaji moja analala Hana shida.