Hello Tanzania! 🇹🇿
Tomorrow is a big day — the official launch of Tanzania’s Foreign Policy of 2001, 2024 Edition, and we cannot hide our excitement to witness this important milestone for our nation.
As young people, we are proud to be part of this event. We’ll be reporting live from the venue, engaging with fellow youth and various stakeholders to understand what this new policy means for our future.
Keep following our page for updates and live conversations. Let’s ensure the voices of Tanzania’s youth are heard loud and clear!
#ForeignPolicyTz #TheWorldIsAnOpportunity
@Eric__Bernard Kaka lile li SGR limerahisisha sana mambo skuhizi tunapishana na wabunge tu kwenye sgr wakiwahi vikao bungeni mwamba ajitahidi lifike na mwanza mapema tu sasa
Ee Bwana, Unifanye chombo cha Amani yako
Palipo na Chuki nilete mapendo
Palipo na Utengano nilete Umoja
Palipo na Shaka nilete Imani
Palipo na Makosa nilete Ukweli
Palipo na Kukata tamaa nilete Matumaini
Palipo na Huzuni nilete Furaha
Palipo na Giza nilete Mwanga
Ee Bwana, unijalie nitamani zaidi kufariji kuliko kufarijiwa
Kufahamu kuliko kufahamika
Kupenda kuliko kupendwa
Kwa kuwa ni katika kutoa ndipo tunapokea
Ni katika kusamehe ndipo tunasamehewa
Ni katika kufa ndipo tunazaliwa katika uzima wa milele
🤲🤲Sala ya Mt Fransisko wa Assizi🤲🤲
Kwetu tulioanza fuatilia mpira miaka ya themanini na tisini wakati ambapo kumiliki luninga ilikuwa ni alama ya anasa na utajiri, Hayati Charles Hillary kwa sauti yake na ugani wake wa kipekee aliweza kutufanya tuutazame na tuuone mpira kupitia spika za redio bila kuona tofauti yoyote na kutokuwepo uwanjani ama kutazama luningani.
Kaka Charles Hillary ametimiza ujumbe wake kwa kuishi na kufikia kikomo cha juu cha kipawa chake na tasnia ya habari nchini.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mpendwa wetu Charles Hillary mahala pema, peponi.
MalemboLE Just wait, your time will come. It may not be today, tomorrow or this year, but it will come. Celebrate with others instead of suffocating yourself with hate and bitterness.
The more bitter you become, the longer it will take to recieve your breakthrough. How are you suppose to find a life partner when happy couples sicken you?
You will never get to experience true love if “They won't last” is your favorite remark everytime you hear that people are dating. No, it's not witchcraft nor is it God punishing you, but you failing to open your heart in order to access your graces.
You have the keys to your answered prayers. Unfortunately the key is often buried under a pile of pride, anger, jealousy, selfishness, hatred and pettiness. Learn to open your heart and appriciate others. MalemboLE tulia.
White smoke! The 133 Cardinal electors gathered in the Vatican’s Sistine Chapel have elected the new Pope. He will appear soon at the central window of St. Peter’s Basilica.
Msikilize Padri Philemon Chacha Mtanzania🇹🇿 akitoa maombi kwa lugha ya Kiswahili katika Misa takatifu kuelekea uchaguzi wa Papa utakaoanza hivi karibuni