@godbless_lema Vizuri umetapika pumba pia hata wewe tu ungekua kiongozi usingeshika chepe pia viongozi wao washike chepe wakati Jeshi linafanya nini kiukweli nimekudharau kwa post hii you are hopeless not everything is an political opportunity broo
@godbless_lema Lema unazingua sana sasa ulitaka viongozi wafanyeje Acha ushamba kama ni siasa hawapromote kama unavyofanya wewe Acha ujinga hakuna wakumlaumu jambo hili limetokea hakuna aliyekuwa anajua pia hakuna juhudi zinazo zaa matunda asilimia Mia moja kuwa na akili.Pia kwaanae fikiri vi
@HKigwangalla@hammy_uncle Tatizo la watu wengi katika maisha hawapendi michakoto hupenda matokeo hii ndio husababisha watu kujenga chuki na watu walio fanikiwa hivyo kumchukia aliyefanikiwa nikujiweka mbali na mafanikio kwasababu huwezi jifunza kutoka kwake tena.Always be positive guys
@HKigwangalla@hammy_uncle Mimi ninaamini katika watu waliofanikiwa and I like to learn from them na kujua process na sio result.Kulaumu katika maisha hakujawahi kumsaidia mtu isipokua juhudi na maarifa katika upambanaji.Hivyo tupambane wadau penye mafanikio pana historia ndefu nyuma yake usichukulie eas