Katika safari,Si kila anayeshuka njiani amefika mwisho, wala anayebak anaendelea
Wenye kuona mbali hujua wakat wa kuweka safar ya wengi mbele ya kiti cha mmoja
“Neno Mabadiliko” ni mbegu; muda ndio huamua itaota nini 🌱
Ukimya wa dereva huwa na ujumbe kuliko kelele za abiria
Katika safari,Si kila anayeshuka njiani amefika mwisho, wala anayebak anaendelea
Wenye kuona mbali hujua wakat wa kuweka safar ya wengi mbele ya kiti cha mmoja
“Neno Mabadiliko” ni mbegu; muda ndio huamua itaota nini 🌱
Ukimya wa dereva huwa na ujumbe kuliko kelele za abiria
Kardinali Pengo alisoma Hapa Masomo yake ya Elimu ya Juu
Pontifical Lateran University, Hiki ndio Chuo alichosoma Polycarp Kardinali Pengo, wengi hupenda Kukiita "The Pope's University".
Kilianzishwa mwaka 1773 hivyo mpaka sasa kina umri wa Miaka 253.
Kijiografia kinapatikana Ndani ya Jiji la Roma nchini Italy, Lakini Mmiliki anabaki kuwa Ukulu Mtakatifu (Holy See) nchini Vatican.
Chuo Hiki kwa sasa kina kitengo/Taasisi maalumu ya Masomo kuhusu Ndoa na Familia inaitwa "Pontifical John Paul II INSTITUTE FOR STUDIES ON MARRIAGE AND FAMILY"
Taasisi hiyo ina Kampasi 13 Dunia nzima, Africa ipo Moja inapatikana nchini Benin.
Kardinali Pengo alipata Doctorate hapa Mwaka 1977 ya Moral Theology.
Miaka 33 ya CHADEMA na programu za kichama za kutafuta makundi ya vijana mitaani na vyuo vikuu.
Kisha kuwakusanya,kuwajengea uwezo na kuwapa mafunzo na elimu ya uraia kuhusu haki zao na mustakabali wa nchi yao.
Najivunia kuwa miongoni mwa zao la programu za CHADEMA vyuo vikuu,kutokea chuo Kikuu cha Dar es salaam. Hapa tayari nilikuwa Diwani Kijana wa kata ya Ubungo.
(Nyuma yangu @HildaNewton21 ukumbi wa Landmark, Ubungo)
Je wewe umekutana na CHADEMA wapi na ukiwa unafanya nini.?
#Tutashinda
#CHADEMANIWATU
Pamoja na salamu zenu nyingi za kunitakia heri ya kuzaliwa 26 Dec.
Mwaka huu nimekosa ile salamu ya rafiki yangu Humphrey Polepole
Kwa miaka kadhaa ,tangu 2008 nimezoea kupata salamu yake fupi "heri ya Kuzaliwa Mzalendo"
na mimi ningemuitikia "asante sana Mzalendo".
Namuona Dangote anakwenda kudondoshewa kesi moja wapo kati ya hizi.
📍Utakatishaji pesa
📍Uhaini
📍Uhujumu uchumi.
📍Kuuza mafuta yasiyo na Ubora.
DPP wa Naija, hawezi kuliacha hili kirahisi.
Hakuna baraka kubwa ya kifedha kama kuwa na wazazi wanaojiweza...
Vijana wengi sana wanachelewa kupindua meza kwasababu ya kusaidia wazazi wako
Kihisia, kimaendeleo na kifedha vijana wanaumia sana, ila hakuna jinsi😩
Grateful for another year and looking forward to life’s journey! As the Chinese curse says “may you have an interesting life”
It has been very interesting so far 😅 but I am very thankful!
Mungu bariki - safari yangu inaendelea - nashukuru kwa uhai 🙏🏽
#TajiriLaKihaya
MANGE KIMAMBI hadi leo Anatuma Videos ….
15 days +…
Kila siku more than 10 videos (za vifo)
Na hizo ni Recorded ambazo zimemfikia… kuna ambazo zilikua recorded labda simu ikapotea au hawana Access nae- so hazijatumwa…
Bado kuna ambazo Hazikua Recorded kabisaaaaaaaa…
Duh💔💔💔
Swala la kudai na kusisitiza HAKI limegeuzwa kuwa msuguano kati ya UKRISTU na UISLAMU. Ni vizuri tutambue kwamba haki haina dini, dhehebu, rangi, kabila wala jinsia. Yeyote anayetetea uminywaji wa haki kwa kuangalia maslahi ya DINI yake ana matatizo katika mfumo wake wa kufikiri.
So apparently this Erick Mang’ala who has registered his phone as Erick Mang’aba ?
The plot to assassinate me is confirmed! The name is confirmed! I just want to make sure we have the correct face before I submit necessary documentation
Nitumieni taarifa zaidi! Huyu Erick lazima atakuwa mmoja wa waliohusika kwenye chinjachinja si bure!
Send me more details ✊🏽
I am putting this here and will be back! If true this man is probably key to the massacre in #Tanzania and needs to be apprehended!
I will be back!
#TanzaniaMassacre
‼️🚨SAMIA AND ABDUL INTENDED TO KILL - IT WAS PREMEDITATED‼️
@mangekimambi was well informed that there was a consignment of military grade weapoms that was stopped at the border! The CDF and military said they did not ask for it but it was cleared by the head of intelligence Suleiman Mombo and it was driven to Abdul Ameir
Then it comes to light that there is a case of illegal arms trade to the Mexican Cartel that involves a Ugandan, Tanzanian and Kenyan! The fake consignment were backed by Tanzania army papers!
The arms came from Bulgaria and very heavy duty
So clearly Abdul was arming his Chinjachinja gang with heavy weapons
You can see concrete wall piercing bullets that police do not have and the heavy duty gun that the Death Squad was driving about
This was premediated mass murder!
@IntlCrimCourt is the only place that @SuluhuSamia and her cabal belong to!
#SamiaMustGo #SaveTanzania #MO29
Uovu huu unapaswa kukemewa na kulaaniwa kwa nguvu zote na kila mwenye pumzi. Haijalishi dini, dhehebu, rangi au itikadi gani, UTU unazidi hayo yote. Hakuna chochote kinachostahili kupatikana kwa kutweza utu. Yaliyotokea ni ushetani ambao haujawahi kutokea katika nchi hii.
Damu imemwagika lakini hata neno 'POLE' tu halikutoka mdomoni mwake. Dhamiri yake imekufa. Waliokufa ni watoto, shangazi, mama, baba, wajomba, ndugu, jamaa, marafiki wa unaowaongoza. Hata kuonyesha sikitiko kwa 'POLE' hakuna. Dhihirisho la uovu na ukatili wa kiumbe huyu wa ajabu!
Mungu hagawani utukufu wake na Mwanadamu. Herode alipojaribu kugawana naye, Malaika wa Bwana alimpiga akiwa kitini pake, akaliwa na chango, akatokwa na roho." {Mdo 12:23}
"Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama." {Zab 49:12}
FOMU YA KUJAZA KURIPOTI NDUGU/JAMAA/JIRANI ALIYETOWEKA AU KUUWAWA #MO29
Bonyeza hii link
https://t.co/3xI70jQLdk
…
Ujaze fomu ni salama kabisa na inaenda kutumika kitaifa na kimataifa kuhakikisha tuna data za wapendwa wetu na tutawaorodhesha kila baada ya masaa 6
Unaweza pia kutuma kupitia Whatsapp
+1 (862) 438-3337 kwa kutupatia:
- Jina la Mhusika
- Mara ya mwisho alipoonekana
- Hali au mazingira aliyoonekana - kama ni wakati wa maandamano, mitaani, nyumbani, hospitalini
- Na tuma picha yake pia au hata la tukio kama una picha yake akiwa amejeruhiwa