@ShijaDenis NB.
Kama namba yako ya NIDA au simu haikusajiliwa kwenye mfumo wa NaPA unashauriwa uende kwa Mtendaji (wa Mtaa ama Kijiji) ili asajii namba za simu au NIDA, kisha atakusaidia kupata huduma hiyo.
@ShijaDenis 4. Jaza NIDA au namba ya Simu...utapata OTP kwenye simu Kama namba yako ilisajiliwa kwenye zoezi la kusajili makazi.
Ukijaza OTP hiyo, utaweza kupata NaPA reference number ambayo utaijaza kwenye kipengele Cha preliminary information kwenye maombi ya mkopo.