HESHIMA KWA VIONGOZI
Ni mara chache tunapata kujua uhalisia nyuma ya maamuzi mangumu ya viongozi wetu. Ni rahisi kulaumu, lakini busara ipo katika kukaa kimya na kumuamini Mungu Awapae madaraka viongozi juu ya watu wake.
Honoured to contribute to carbon taxation discourse. Our new paper identifies key drivers of firms’ acceptance of carbon tax policy. Enjoy the read
https://t.co/D7zndM5oNU
#GCET27@SU_Libraries@StellBusSchool@tandfonline
📢 New research out now
Digital access matters for #FinancialInclusion in Tanzania. But rural areas still lag behind, with inclusion skewed toward wealthier individuals. Gaps tied to income, digital access & literacy. We must connect every Tanzanian.
🔗 https://t.co/WdbSyTQxo7
You may have been through some disappointments, but this is a new day. Your greatest victories are still out in front of you. This is your year for a fresh start. Dare to dream again; dare to have a big vision for your life. Trust God to bring it to pass.
Kuwepo kwetu katika kipande hiki cha ardhi rehema za Mungu .
Namna ya kukitumia kipande hiki kwa maslahi yetu na vizazi vijavyo ni jukumu letu la kikuhani.
Utu uwe msingi na Dira ya Taifa.Kutekana na kupotezana ni aibu ya Taifa.Taifa timamu hulibda uhai wa watu wake.
In the chapters yet to come in my life, grant me, oh God, the knowledge to truly understand my world, the wisdom and serenity to make sound decisions, and humility to recognize and embrace Your work within me. AMEN
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
A letter to the son
To you, son of Africa,
I hope those in power take note of your struggles and care enough to take action in bringing peace and prosperity within your borders.
Yours,
Father and son of Africa
16.06.2024
@FlavianaMatata Endelea kupata nguvu dada mkubwa, the challenges we face are what defines our lives. Don’t forget to put on a bit of smile, naamin mama Pia anakutizama from above, na Aendelee Pumzika kwa Amani
@SuluhuSamia Ni jema Mh. Rais kuendelea kuendeleza mikakati ya miundombinu ktl miji mikubwa kama Dar. Lakin nishauri kuzidisha pia nguvu kwenye miradi kama SGR, ili fursa zifunguke kwa wananchi nje ya Dar, watu waishi Singida, Dodoma na Moro wakiwa na uweza wa kwenda na kurud Dar in a day 👏🏾
Swali: Na milioni 10 zangu, Niwekeze wapi?
Kufanya uwekezaji kunahitaji kupanga vizuri “allocation” ya uwekezaji wako.
Maeneo ya kuwekeza ni mengi yakiwemo hisa (stocks), hati fungani (bonds/sukuk), real estate, commodities, ETFs, digital assets kama bitcoin, n.k
Kiasi gani uwekeze wapi inategemea mambo mengi, kama vile;
1. Umri
2. Malengo ya uwekezaji
3. Uwezo wa kuchukua risk (risk appetite)
4. Matokeo tarajiwa (expected return)
5. Elimu ya eneo la uwekezaji husika
Mfano; mtu mwenye umri wa miaka 35, mwenye malengo ya kununua nyumba baada ya miaka 5, mwenye “risk appetite” ya zaidi ya 60%, anayetaka minimum return ya 20%, anaweza kuwekeza hivi;
1. Hisa - 60%
2. Commodities - 20%
3. Digital assets - 10%
4. Hati fungani - 10%
Huu ni mfano tu, omba ushauri zaidi
@YourFrenchFry If it keeps coming back to you, write it down, and do something spiritual, Ask Holy Spirit and you will figure out whatever heavens needs you to know. Habakuki 2:2