Maskini ana matatizo ya kimasikini na tajiri ana matatizo ya kitajiri. Matatizo huwa hayaishi. Tafuta namna ya kufurahia maisha usisubiri kumaliza matatizo
"Unapoaminiwa na kupewa jukumu ni fursa ya wewe pia kujiamini. Wanaokuaminia wamekiona ndani yako kile ambacho pengine wewe hujakiona." ~Togolani Mavura.
"Wakati mwingine kurudi nyuma ndio mwendo, wakati mwingine kubomoa ndio kujenga, wakati mwingine maumivu ndio tiba, wakati mwingine kujipangua ndio kujipanga na wakati mwingine mwisho ndio mwanzo." ~ Togolani Mavura.
@privaldinho Wakati mwengine unafanya mpaka watu wasio jua wajue kama una sukumwa kimba mzee jaribu kutulia basi una jizalilisha unataka nchii nzima ijue kama una kazwaaa
@LastbornWaWapwa Kondomu hizo bora nipige mbichii tu kwanza demu ukimla kama hajaenda jisafisha vzr alafu uje kumla kavu utasema ananuka na U .T.I unapata
"Katika maisha, usijisahau na kufurahia sana kufanikiwa maana kufanikiwa ni tukio tu katika maisha, changamoto kubwa ni kuendelea kufanikiwa na kuishi maisha ya mafanikio." ~Togolani Mavura.