@HenryKilewo Uko sahihi @HecheJohn achana kujibizana na spika au sijui kiongozi wa wazazi, deal na wale wenyewe mbona ndio wenye matatizo hata lema @godbless_lema jaman mwakina mgulu wale, sijui Mbinchi
CCM na Polisi ni wakatili sana, wamekwenda kwenye nyumba ya mtu kama Machinga ( nadhani sasa tuwe makini na machinga kuingia ndani) wamemuuzia mashuka kumbe wanasaka uhai wa mwanae
Wakauza mashuka hapo bila aibu kisha wakamkamata kijana wake, anauliza anapelekwa wapi kwa kosa gani hakuna majibu wanasukumwa.
Polisi amekwanda kuripo wanamzungusha tu hakuna polisi wamefungua file wala kufanya upelelezi, hii ilitokea kwa utekaji wa @daviddjumbe pia polisi walianza zunguka kuhusu kufungua file
Leo Mwigulu anaambiwa kuna utekaji anamwingilia huyu mama asitoe story yote anauliza maswali katikatika ya maelezo kumchanganya, kwa nini hakutaka amalize , baada ya maelezo mengi ya mama, Mwigulu ajajipiga kifua kusema ana cheo kikubwa, alichofanya ni kusema RPC nenda kamsikilize andika maelezo,
Mwigulu akumuuliza RPC kama anaijua hiyo kesi, wala OCD hakuulizwa kwa kifupi alikwepa kabisa kuuliza chochote kwa polisi, anaongea kama amemwagiwa maji maana wiki iliyopita alikuwa anasema kwamba wanaoteka watu ni michezo , ni nchi zisizotupenda na watu wasioipenda serikali na walimpiga risasi mpaka kiongozi wa kisiasa.
CCM imegoma kabisa kuacha utekaji ndio maana wanavuta miguu kila wanapoumbuka.
cha ajabu wanaokwenda ongea kutoa kero unaona wanahojiwa na mtu kabla ya kutoa kero, kwa nini wasiache watu waongea mambo yao yanayowasumbua mpaka kuwe na mchujo wa nini cha kuongea ? kwani nani amewalamisha kusikiliza wananchi?
#ChangeTanzania #KatibaMpya
Tundu Lissu ni mzalendo anayepigania Tanzania anayoamini. Wanaofurahia au kusimamia kuendelea kwake kuwa gerezani wajue kuwa mamlaka ni ya muda, lakini hukumu ya historia ni ya milele. #FreeTunduLissu