Samia hakuwa peke yake kuwezesha mauaji. Hata kama kuna kauli anatoa hadharani zenye nafuu, aliingia kwenye mchakato wa uchaguzi usio na haki. Yeye pia ni mhusika
“#Tanzania has seen serious democratic backsliding, political #repression and violations of fundamental rights,” David McAllister, the chair of the Parliament’s foreign affairs committee told @Euractiv newsletter Rapporteur.
https://t.co/hcQYKbdnVi
Watanzania ndugu zenu wanapambana huku kwa ajili yenu.
Msaada wa Marekani tutaupata. Acha huyo muuaji akimbilie kwa Putin ila msaada tutaupata.
@Liberatus80@tausilikokola aiseee nyie viumbe wawili siku mkirudi TZ itabidi mbebwe juu juu.
Unfortunately I couldn’t make it Ila next time na mie nitatinga huko Bungeni. Tatizo langu moja tu, I’m still too emotional juu ya October 29, nikianza kuwahadithia kilichotokea sichelewi kujitupa chini huku napiga ukunga wa kiswahili. Nikifika sehemu Naweza kuongelea October 29 bila kulia mpaka kwikwi nitakuja. Ila ahsante sana kwa mwaliko @tausilikokola , next time nita accept.
Watanzania these are our national heroes @tausilikokola@Liberatus80
Sasa tutaona Samia na Putin kama wataweza kushindana na Watanzania na Marekani…..
Mwenyekiti wa Kata wa CHADEMA kwa sasa akiitiisha mkutano wa hadhara. Mkutano unakuwa mkubwa kuliko Mkutano wa CCM unaokutanisha Wasira, Kenan Kihongosi na Wabunge 50 wa CCM, pamoja na malori 30 na matrekta 33 yakusomba watu.
Mwigulu unasemaje sasa kuhusu hili? Anaehujumu serikali ni nani?
Serikali dhalimu hii iliyojaaa damu, inatesa mamilioni ya Watanzania kuanzia Mtwara mpaka Tarime toka Tarime mpaka Kigoma kutoka Kigoma mpaka Songea, Tunduma mpka Dar..
Kila kona ya Nchi hii watu wanalia kama sio kubambikiziwa kesi na polisi, ndugu zao wametekwa au wameuwawa na vyombo vya dola .
Huyu mama anahitaji kulipwa nini ili aandamane kudai haki ya mtoto wake kutekwa.
Watoto wa huyo kijana au wa Soka, Mdude au polepole, watoto wa Chonchoryo au Sinda, watoto wa Tall au Kipanya wakikua wataacha watoto wenu waishi kwa Amani?
Mnajenga sumu ya hatari mno kwenye mioyo ya Watanzania, bahati mbaya nashindwa kuona tatizo hili na kulitatua bado mnatumia ubabe na kiburi…
Fikiria huyo angekua mama yako!
Utaratibu wa polisi kukamata watu upo kisheria. Kwanini polisi wanateka Watanzania?
Kila mtu ambae mtoto wake au ndugu yake amechukuliwa story zinafanana kwamba watekaji walijitambulisha kwamba wao ni polisi.
Jambo kubwa kama hili, Watuhumiwa ni polisi alafu unasema polisi ndio wafuatilie!hivi mnawaonaje Watanzania?
Watanzania hawatakubali kuishi kwa hofu kwasababu ya kagenge kadogo ka wauaji na wanyonya damu.
#BREAKING: JUKWAA LA MAJAJI AFRIKA LASISITIZA KESI YA LISSU KUAMULIWA KWA HARAKA
Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika (AJJF) imeitaka Mahakama ya Tanzania kuharakisha mashauri ya jinai dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu, ikionya kuwa ucheleweshaji wa kesi unaweza kudhoofisha imani ya umma kwa taasisi za haki.
Katika taarifa yake, AJJF ilibainisha kuwa mashauri yanayomhusisha mwanasiasa maarufu huvutia uangalizi wa kitaifa na kimataifa, hivyo uwazi na kasi ya uendeshaji ni muhimu.
Jukwaa hilo lilionya kuwa “haki ikicheleweshwa inaweza kuathiri imani ya umma kwa mahakama na mfumo mpana wa utoaji haki.”
AJJF ilisisitiza kuwa uamuzi wa haraka na wa kuaminika unahudumia maslahi ya mtuhumiwa na ya Serikali, huku ukilinda uthabiti wa demokrasia.
Pia ilihimiza mahakama za Tanzania kutekeleza wajibu wao wa kikatiba kwa uhuru na weledi, kuhakikisha mashauri yanaheshimu viwango vya haki ya kusikilizwa na kuimarisha imani ya wananchi kwa utawala wa kikatiba.
It was an honor to meet with Senator @tedcruz alongside members of the Tanzanian community in Texas. During our brief meeting, we thanked and expressed our appreciation to Senator Cruz for standing up for and championing religious freedom and human rights for all Tanzanians. Religious freedom knows no borders.
We also commended him for the bipartisan bill in the Senate aimed at holding the samia suluhu hassan regime accountable for its human rights abuses and atrocities.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #ReligiousFreedom #SamiaMustGo
Marais wote wa 3rd world countries, baada ya kuua wananchi huwa wanakimbilia kwa Putin ili kupewa ulinzi dhidi ya Western countries. Samia Suluhu sio wa kwanza. Assad wa Syria yuko exhile hapo Russia. Samia asisahau kumtembelea Assad ili Assad amwadithie ulinzi wa Russia huwa unaishia wapi…
Na la mwisho kabisa, Watanzania tukae chonjo na “mpinzani” yoyote anae refer to idadi ya vifo ya jaji Chande. Huyo ni puppet wa CCM. Mpinzani gani anaongea muda mrefu juu ya trivial issues za miaka yote alafu October 29 anagusa juu juu tena ana quote idadi y vifo vya jaji Chande?
Issue ya October 29 ndio issue itayoleta haki TZ, issue ya idadi ya vifo vya October 29 ndio itakayobadilisha nchi na sio mambo ya CCM Mtandao in 2026. Issue ya October 29 ndio inayofanya nchi ya Marekani kutaka kutusadia so ni lazma upinzani wapeleke nguvu kwenye October 29 na sio issue za za miaka yoooote.
Alafu nauliza nani kaona viongozi wa ACT wakiposti video/picha za mauaji ya October 29??? Mpaka hapo Watanzania jibu tunalo.
CHADEMA NDIO UPINZANI PEKEE TANZANIA, WENGINE WOTE NI PROJECT YA WAUWAJI!!!!!!
Hebu tuwaze nje ya BOX!!🤔
What if, ni mchezo wanautengeneza ili kumfanya VICEnt apate sympathy kwa wapiga kura….kisha ndio iwe next kete yao 2030!!🤔
Yes, coz sio mara yao ya kwanza kuyafanya hayo!! Wameshaitumia sana hii strategy huko nyuma na wakafanikiwa!!
Nikurudishe 2017
TAL alipopigwa pyuu pyuu 🔫
wengi walimchukia Banza kwa lile
tukio!!
Hisia zangu zinanambia #MasterMind aliitumia hii opportunity akamtuma Kizim-Job akampe pole TAL!!
sidhani kama ile move ya kwenda kumuona na kumpa pole TAL ilikuwa bahati mbaya ile, huwa always nahisi it was strategically planned na pengine mtoa pole hakujua kama ni mchoro anachorewa, yeye aliamini anatenda utu….but kuna watu behind the scene walipush ile move!!
Ili kumjengea sympathy,imani na upendo kwa raia, kwamba kati ya wanachama waandamizi wooote, ni huyu pekee kajitoa kwenda kumuona mgonjwa.
Basi huyu ana upendo sana!
Basi huyu atatufaa kutuongoza!
Huyu sio katili kama Banza!!
Kumbe MasterMind anasema huyu
Ni next kete yetu tutamtumia siku za mbeleni, tayari anauzika kwa wapiga kura!!
Haya miaka imepita….
vipi leo bado sio katili!!?🤔
Sasa nashangaa sana kuwaona baadhi ya wanafamilia wakiingia kwenye huu mtego tena mapema sana, bila hata kuwaza nje ya box!!
Tena wengine ni watu senior na very influential kwenye siasa na harakati!!
Wanaanza kumpongeza VICEnt kuona huruma, kumfanyia PR na kumu-endorse kwa raia….Pasi kujua kufanya hivyo ni kurudia makosa yaleyale ya kujikuna Nyashi kisha unakata kucha kwa meno!!
Ni kweli VICEnt anaonekana kuwa mtu poa currently, lakini shida ni familia ileile!!
Iko hivii…..hawa jamaa ni very smart na calculated!
Wanajua fika now wako kwenye nyakati ngumu sana kujiuza kwa wananchi kutokana na waliyoyafanya….Nyama ngumu kwelikweli!!
Wana changamoto kubwa
ya who is next? ambaye wata msimamisha na raia wakampokea na kumkubali bila makwasukwasu yoyote!!
Hapo sasa kwenye Who is next, ndiyo nahisi #The_Master_Mind huwa anakujaga na mchoro wa kutafuta exit!!
Kwamba watengeneze beef/vita/misunderstandings wao kwa wao ndani kwa ndani, then habari zitoke nje kwa raia….kuwa kuna mpasuko ndani ya chama!!
Then ile kete wanayoitaka wao ndio ionekane kwa raia kama ndiyo inaonewa ndani ya chama au kama ndiyo shujaa inasimama na raia!!
Na raia tulivyo na mtindio wa ubongo tunajaa kwenye huo mfumo!
Tena wakati mwingine #MasterMind anaweza akachezesha huu mchoro bila hata kuwashirikisha wahusika wakuu, yaani main characters wakawa wanapasuana kiukweli, kumbe kuna mtu behind the scene anawachezesha filamu!!
Anagusanisha nyaya, anapigisha cheche bila wao kujua….
KUWENI NA MISIMAMO
KUWENI NA KUMBUKUMBU
WAZENI NJE YA BOX
MSIJAE KIZEMBE
Nways labda niko wrong na hisia zangu!!
Tatizo naangalia sana movies za watu waBad wanavyoRemote Gavoo na Viongozi!!
zinaniharibu sana!!
TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA.
Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa.
Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi.
Tumeacha misingi ya utawala wa sheria na kujigeuza kuwa miungu watu wasioguswa na uwajibikaji.
Hatuwezi kuua, kutesa, kushambulia na kupoteza maelfu ya watu halafu tukajificha nyuma ya neno “sovereignty.” Huo siyo ulinzi wa mamlaka ya Taifa; huo ni upotoshaji wa dhana ya sovereignty chini ya Sheria za Kimataifa.
Kwa mujibu wa Katiba ya Umoja wa Mataifa (UN Charter), Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa (ICCPR), Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu (UDHR), Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu (African Charter on Human and Peoples’ Rights), pamoja na kanuni ya Responsibility to Protect (R2P), Mataifa yana wajibu wa kulinda uhai, utu, uhuru na usalama wa wananchi wake.
Sovereignty katika sheria za kimataifa siyo leseni ya Serikali kufanya ukatili dhidi ya watu wake bila kuwajibishwa. Sovereignty ina mipaka ya kisheria na kiutu iliyowekwa na mikataba ya kimataifa, sheria za haki za binadamu, na wajibu wa Mataifa kulinda wananchi dhidi ya mauaji, mateso, upotezwaji wa watu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Pale ambapo Taifa linashindwa au linakataa kulinda haki za msingi za wananchi wake, jumuiya ya kimataifa kupitia taasisi zake halali inaweza kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria za kimataifa ili kuzuia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
Ndiyo maana hatua mbalimbali zinazochukuliwa na baadhi ya Mataifa ya Ulaya, Marekani, na taasisi za kimataifa kuhusu maafa ya Oktoba 29 dhidi ya Watanganyika ikiwemo mauaji, upotezwaji wa watu, mateso, na vitendo vinavyokiuka misingi ya haki za binadamu zinaweza kuwa na msingi ndani ya mfumo wa sheria za kimataifa na wajibu wa kimataifa wa kulinda utu wa binadamu.
Tusipokuwa tayari kujiwajibisha wenyewe, tutajikuta tunawajibishwa na jumuiya ya kimataifa.
Ukweli, Haki, Utawala wa Sheria na Uwajibikaji ndiyo msingi pekee wa kulinasua Taifa letu kutoka katika mkwamo huu.
BAK MWABUKUSI
SHAMBANI BUSOKELO
Huyu Bwana Kombo anazidi kuthibitisha kwamba waliua watu bila sababu ya msingi… Chande alisema kulikua na training na silaha , kombo anasema mawe!!! anasema ukimlembea jiwe polisi, anatakiwa kukupiga risasi..
Je Bwana Kombo yule mama Mtanganyika pale Arusha, Video yake Inaonekana anakimbia , akapigwa risasi mgongoni, alilemba jiwe kwa nani?
Watu wameuwawa wakiwa nje ya Mageti ya nyumba zao, wengine kwenye sebule , kuna vijana Mwanza mmeaua wakiwa wanaangali Mpira…
Unasema tumeheal!!!! Hamtaweza kufukia mauaji ya kutisha mliyofanya ili mjitangaze kwenye uchaguzi ambao haukuwepo… wote mnakula pesa za damu na dunia haitakaa kimya.
Sawa kabisa mnaosema Marekani wasitunyanyase! Sawa! Na sisi tusidai kutonyanyaswa bali tudai kutotekwa, kutotekwa na kutouwawa bila sababu. Hivi hilo nalo ni gumu, wajameni?! Punguzeni povu midomoni, ongezeni fikra vichwani. Huo ni mkwamo mlikokwama na dawa yake si kasi ya midomo.
@UlimwenguJm@KisongaRauce Inashangaza sana pale Bunge la Ulaya na Marekani yanapojali Maisha ya Watanganyika huku Bunge letu likiwa limelala using usingizi wa pono
Wabunge haram wakiongozwa na @esteramosbulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea.
Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?
Hatimae nimerejea uraiani baada ya miezi 6 katika kuta za Gereza R/Bunda.
Mateso yote niliyopitia tangu 01/11/2025 - 22, Mei 2026 yamenipa nguvu ya mapambano zaidi.
Sasa basi ili kuiondoa CCM Madarakani lazima tuwe na Vijana Watundu, Vijana Wakorofi na Vijana wenye Hasira.